Write your reply...inawezekana yote uliyosema ni kweli ila kukimbia km 16 kwa cku nafikiri hapa ndio uongo wako ulipoanzia ..HV mkuu unamaanisha km 16 kwel au mi ndio mi ndo cjakuelewa vizuri
Tusi nzito lenye vitamin ... [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji1] [emoji1] hii ndo nimeiskia,leo tangu mwaka uanze ..
Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
Katika maelezo yako mi cjaona sehm uliyoandika sababu ya kumuacha labda ueleze kwa nini unamwacha wakati we mwenyewe unakiri umemfukuzia mwaka mzima . Leo anaonyesha real love wataka kumuacha
Yaani we mwanamke una balaa mana si kwa uchepukaji huo..watu saba yani hii ni hatari aise....lakn bado cjui unataka Ushauriwe nn juu ya ujauzito ulionao au labda mi ndo cjaelewa
Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
Nimecheka kweliiii muharo kweli sio mchezo mchezo..eti unaweza kuharisha hadi utumbo na vitu vya ndani.. Kama hii ni true story kweli Inatisha inatakiwa uwatafute bongo movie waandae script..but pole kwa yaliyokusibu kufa hukufa ila cha moto ulikiona...
Bata,ukichunguza,sana huwez kumla mwisho utaamia kwa kuku kumbe kuku nae pia ni mchafu hivyo hivyo kama bata ..
Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.