BInafsi sioni kama kiutendaji na kwa kasi ya maendeleo ya nchi yetu inafaa. Sisi wasafirishaji wa makaa ya mawe Toka Songea na kupeleka sehemu mbalimbali ya hapa nchini na nchi jirani tunasikitika Sana na mwenendo wa utoaji vibali vya MADINI vinavyotolewa na WIZARA kubwa kama hii.
Utakuta...
Duh! Umenikumbusha mbali Sana nilienda kufanya interview kampuni moja hapa bongo wakawa wananiuliza maswali ya kipumbavu Sana eti mbona umesoma Sana kwanini? Niliwashangaa.
Uzaifu MUNGINE hakai kabisa makao makuu ya nchi akikaa Sana siku tatu anarudi baharini kupunga kaupepo wakati mwendazake alikuwa anakaa mwenzi mzima anaotea jua juu ya mawe huyu amezoea UPEPO kuangalia mijusi ikikimbizana juu ya mawe hataki
Hawa wamachinga wanaowabembeleza kama watoto wachanga huko mbeleni watakuwa kuleta shida kubwa Sana kupelrkea hata vikundi vya kiuhalifu nchini inabidi hilo bomu walizibiti mapema Sana kabla halijalipuka
Tuangalie majiji ya wezetu mfano kwa jirani zetu Kenya hakuna upuuzi wa vibanda hovyo hovyo kama hapa kwetu watu wanajenga vibanda mpaka wanakalibia Ikulu?
Kwani Dodoma Kuna daladala?naona kama vile singida tu wanaotumia Sana bajaji ngoja nije nitembee siku moja nikague kama zipo daladala nilete HICHER yangu
Menejiment ya kioo limited kiwanda cha kutengeneza chupa natoa maoni juu ya uongozi upande wa usafirishaji haswa kwa mtu anayeitwa mwalimu huyu mtu atawakosha madereva bora na wenye viwango vya hari ya juu kwa roho yake mbaya anafanya kampuni kama ya baba yake dereva hata ukizi vigezo vyote yeye...
Watu wa PHAMACY ni wezi wa kutupwa, nawaomba hasa wanaotumia Bima ya Afya mjihadhali wagonjwa kupunjwa dawa ukiandikiwa dozi ya dawa na doctor jitahidi I kujua kiasi cha dawa utakazoandikiwa na hiyo dawa ni dozi ya siku ngapi, ukikurupuka ukitoka pale PHAMACY kama umeandikiwa doziya siku nne na...
Nimefanya uchunguzi wangu Mdogo tu nimegundua wananchi wengi hawapendi kusikiliza taalifa ya habari ya Redio ya Taifa wengi wanapenda Sana Taarifa ya habari ya Redio One, sijui Redio ya Taifa wamefeli wapi?
Tofauti kabisa na miaka ya nyuma miaka ya 1970 mpaka miaka 1990 watu walikuwa wanapenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.