Japo hao askari wa barabarani wanaosemekana kutusaidia ni wala rushwa kupita kiasi, na pia sidhani kama kulikua kuna haja ya jamii forum kuchapisha habari kama hii kwa sababu imeegamia upande mmoja sana ya kutaka kutuonyesha dereva na raia au abiria wanamakosa pekee yao ingependeza tungesikia na...
Kuna muda huwa najiuliza elimu tunayosoma ndo inashida au sisi tunaofunza na kufunzwa ndo tunashida kama through archimedes principle and law of flotation watu wameunda meli na vitu vingi vinavyoelea, kwa nn sisi tunashindwa kufanya gunduzi kubwa na za kipekee zaidi duniani badala ya kuendelea...
Raisi ni taasisi, na taasisi huundwa na departments tofauti, na kitu kingine unatakiwa kujua raisi kama mtu hupita lakini nchi hubaki na taasisi yake ya uraisi, hivyo unaweza ona kwamba nchi kama familia baba hawezi simama pekee ake au mama pekee ake na familia ikasimama, conclusively kuna watu...
Ukienda au ukijaribu kufanya application kwenye international organisation, moja ya swali unalotakiwa kujibu ni kama una any relates within the organisation na swali hili linakuja ili kama yupo kuhakikisha hakuna upendeleo utakao fanyika kwa namna yoyote ile, ila kwa kwetu huku ili kupata kazi...
Najaribu kumtafakari sabaya na utetezi wake dhidi ya kesi yake, na kama alichosema kwamba alikua anapokea order from upstairs basi nadhani inabidi tuangalie upya terrorism issues kwa nchi yetu.
He was after cheap popularity, maana alikua na option nyingi kama vigezo anavyo, kama kuripoti shule na kuomba kubadilishiwa kombinesheni au hata kuhama shule lakini sio kujiandamanisha barabarani kama hivyo.
Na uyo raisi nn kitakua chanzo cha mapato ya serikali yake? Jaribu kusoma pia kwa nn nchi nyingi zilizokua zimeungana zilivunjika then njoo tukusikilize tena
Ni wazo zuri sana lakini kitakacho tokea endapo watu wakishindwa kulipa ni kurejelea karabai na mishumaa na hii ni kwa sababu sehemu kubwa ya watanzania hawataki au hawapendi kuwajibika kwa nafasi yao, kwa mfano mwenyewe umesema watu wanakopa voda na badala ya kulipa anahama mtandao, kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.