ukimtoa mzee kikwete na babaake,mliobaki wote kichwani ni -0.
watu ambao hawajui mpira wanasahau kwamba msimu huu simba wanatengeneza timu, matokeo chanya wanayoyapata ni swala lingine kabisa
mi mbona hawa sportybet siwaelewi?????
kuna siku nilitandika mkeka vizuri tu. baadae nakuja kuuangalia unaendeleaje nikakuta wamenibadilishia timu kwenye ule mkeka...
jana tena nilitandika mkeka wa siku 3 wa over 0.5 tupu mechi zote cha ajabu usiku naangalia maendeleo ya mkeka nakuta mechi mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.