Kumbe wadau wa Milambo mpooo!!! Kuna
mdau nimemsoma kuwa alikuwa EGM
2007 ni nani huyo? Maana mimi
mwenyewe nilikuwa EGM mwaka huohuo
nilikuwa EGM FORM V.
Maana nakumbuka kale kabango kaliko
aandikwa DH kuwa "MILAMBO IS THE
TOP OF THE TOPS". Nilikuwa bweni la
Sokoine, Milembe moja.
Kumbe wadau wa Milambo mpooo!!! Kuna mdau nimemsoma kuwa alikuwa EGM 2007 ni nani huyo? Maana mimi mwenyewe nilikuwa EGM mwaka huohuo nilikuwa EGM FORM V.
Maana nakumbuka kale kabango kaliko aandikwa DH kuwa "MILAMBO IS THE TOP OF THE TOPS". Nilikuwa bweni la Sokoine, Milembe moja.
All in all,
1-Sheria hizo hazitawahusu wasiokuwa waislam.
2-Kama mtu hatapenda kwenda kwenye mahakama ya kadhi, basi halazimishwi.
3-Ikumbukwe kuwa kwa mujibu wa sheria za ndoa, zipo ndoa aina tatu: ndoa ya dini, ya serikali na ya mila. Kwahy kama mimi nimeoa kwa mujibu wa ndoa ya DINI...
si kweli, mahakama ya kadhi inatumia vitabu vya kiislamu/qur`an kwahiyo hakuna sheria ya kiislam inayosema kwamba mwanamke harusiwi kuolewa hadi kaka yake akubali na wala hakuna sheria inayosema mwanamke akipewa talaka asiondoke na kitu chochote, swala hilo si kweli na ni uzushi tu. Na anayesema...
Ni sahihi, si dhani kama kuna haja ya kuanza kzungumzia mambo ya KADHI.
Kama huoni au hujui kazi za KADHI, ni vema ukanyamaza. Maana KITANDA USICHOKILALIA, HUWEZI KUJUA KUNGUNI WAKE.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.