Recent content by king james son

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wife ameikimbia nyumba sababu ya madeni, nifanyeje?

    Nina uhakika 100% hufahamu unachozungumza
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wife ameikimbia nyumba sababu ya madeni, nifanyeje?

    Naitoa wapi hiyo pesa ya kumlipia, unadhani ningekua nayo ningekuja hapa kuomba ushauri? Si ningelipa tu kimya kimya yakaisha Mm naishi kwa kutegemea mshahara, naendesha family kwa mshahara, Leo nikakope kwenye mshahara ili nimlipie madeni, halaf hiyo sehemu iliyobaki itaendesha family...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wife ameikimbia nyumba sababu ya madeni, nifanyeje?

    Kwa kifupi hakuna mahala popote nilipokosea, imetokea tu bahati mbaya mwenzangu amefikia hatua hiyo Kutokana na tabia tu, wako watu wapo hivyo, hana shida ya kifedha kiasi hicho lakini akitangaziwa mkopo anaenda kuchukua na hafanyi kile alichokusudia, kinyume chake anaanza kutumia kwa mambo...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wife ameikimbia nyumba sababu ya madeni, nifanyeje?

    Umesahau wanawake wa leo mlivyo? Usiri +kiburi Chake ni chake, chako ni cha wote Nioneshe au nitajie ni wanawake wangapi wanaoleta mishahara yao mezani au mapato kwa ajili ya mjadala wa matumizi? Ni wanawake wangapi wanachukua mikopo kazini na haji kusema nyumbani? anakatwa taratibu...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wife ameikimbia nyumba sababu ya madeni, nifanyeje?

    Vema, umesomeka
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wife ameikimbia nyumba sababu ya madeni, nifanyeje?

    Indeed, this comment is irresponsible, because it seems the author is not married hence he doesn't know very well the institution of marriage, therefore he thinks solving marriage problems is easy as pressing switch button In swahili Kaka kutatua matatizo ya kifamilia ingekua ni rahisi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wife ameikimbia nyumba sababu ya madeni, nifanyeje?

    Nashukuru kwa mawazo haya, yana mwelekeo
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wife ameikimbia nyumba sababu ya madeni, nifanyeje?

    Mngejua nilivyohangaika na haya madeni yake msingesema mnavyosema sasa Halaf kumbukeni wanawake wapo hivi "" chake ni chake, chako ni cha wote, anakopa haleti hela mezani tupange cha kufanya pamoja, akishakopa huwezi hata kujua kakopa unakuja kusikia anadaiwa tu, sio rahisi kama mnavyofikiri
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wife ameikimbia nyumba sababu ya madeni, nifanyeje?

    Ndugu yangu sio deni moja tu, ni madeni mengi, halaf niuze nyumba yangu nianze upya au?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wife ameikimbia nyumba sababu ya madeni, nifanyeje?

    Kwa hiyo nifanyeje kukabiliana na hii Hali maana hujaeleza ufumbuzi
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wife ameikimbia nyumba sababu ya madeni, nifanyeje?

    Wadau natumai hamjambo Mm ni mwajiriwa, ni baba wa watoto wawili na mke mmoja, mke wangu amejiajiri mwenyewe ana saloon na ana biashara ya chakula ya medium scale na biashara zingine flan flan hivi Kwa karibu miaka mitano sasa amekua akishiriki katika shughuli za vikundi vya akina mama katika...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mwanaume shoga aamua kukiri redioni kufanya biashara hiyo

    Kwani alibakwa? Yy anasema alirubuniwa akaona ni tamu akaendelea mwenyewe hadi kumuonea wivu mke
  13. K

    JamiiForums Tanzania Boss amenipenda ameomba tuishi wote, nikubali?

    Nasubiri pm yako nikakujolee kidogo, na leo Kuna baridi
  14. K

    JamiiForums Tanzania Boss amenipenda ameomba tuishi wote, nikubali?

    Hilo neno linatumiwa na wanawake tu, period Hata hapa jf nioneshe me alielitumia wewe ndio wa kwanza, neno hilo linatumiwa na wanawake tu, hivyo kwa kuwa umelitumia, ni wazi una vijimelea kule matakoni kwako vinakuwasha, hebu ni pm nikakusugue kidogo
  15. K

    JamiiForums Tanzania Boss amenipenda ameomba tuishi wote, nikubali?

    Hamna tatizo yy achukue hela tu asepe
Back
Top Bottom