Recent content by king henry

  1. king henry

    Kwa nini tukinunua betri jipya mafundi huunganisha kwanza betri la zamani au used kuwasha gari halafu ndio wanaweka jipya ?

    Ni nadharia iliyopo kwa watu wengi... Kwamba ukiwashia betri mpya.. Haitodumu itawahi kufa..
  2. king henry

    Nyumba bomba ya kisasa ya kuishi

    Wengi husema bati zinaoza haraka .. Ukiezeka kwa dizaini hii
  3. king henry

    Ushawahi kuwa na msichana mwenye sehemu za siri fupi?

    Nishawahi kutana nao watatu .. Hakuna nilichokuwa nafurahia cos hata bao moja nilikuwa sipig
  4. king henry

    Je, gari yako inatembea Kilomita ngapi kwa lita moja ya mafuta?

    Ninkweli uendeshaji mzuri hukupa matokeo mazuri katika gari yako
  5. king henry

    Tofauti kati ya Difu yenye reduction na Diffu ya kawaida ni ipi?

    Fafa nua tu kaka ili hali hata kidogo tu tupate mwangaza
  6. king henry

    Tofauti kati ya Difu yenye reduction na Diffu ya kawaida ni ipi?

    Siongelei gari za kisasa zinazovuta mbele Naongelea gari ambayo ili itembee lazima kuwe na nguvu inayosafirishwa kutoka kwenye gearbox kwenda kwenye difu na kusambazwa katika wheel
  7. king henry

    Tofauti kati ya Difu yenye reduction na Diffu ya kawaida ni ipi?

    Tunajua ili gari ifanye kazi vema na ihimili mwendo ni razima kuwe na difu madhubuti. Naomba msaada kujua tofauti ya difu ya kawaida na difu yenye reduction
  8. king henry

    Msaada doctors: Naomba kujuzwa sababu ya kuchelewa kupata hedhi baada ya mimba kuharibika

    Nashukuru sana kwa ushauri wako .. Pia husababisha mauvu ya tumbo na hata maziwa huvuja na kuuma
  9. king henry

    Msaada doctors: Naomba kujuzwa sababu ya kuchelewa kupata hedhi baada ya mimba kuharibika

    Baada ya mimba kuharibika yapata miezi wa miwili sasa imepita na bado hajapata hedhi yake , ili hali anaweza akapata siku moja na kupotea.
  10. king henry

    Aliyebeba mimba yangu kaamua kuja kwangu na yule wa zamani naye kaja

    Jaman naomba ushauri wenu... Nilikuwa na girl friend hapokei kwanza but tulikwaruzana Sana kufika kipindi akaamua kuondoka na kunitamkia mengi makali. Nilimpenda sana ila aliamua kwenda.. Niliingia mikononi mwa mtu mwingine alinionesha mapenzi ya dhati but nafsi yangu haikuridhika nae ila...
Back
Top Bottom