Msaada doctors: Naomba kujuzwa sababu ya kuchelewa kupata hedhi baada ya mimba kuharibika

king henry

Member
Sep 2, 2018
10
7
Baada ya mimba kuharibika yapata miezi wa miwili sasa imepita na bado hajapata hedhi yake , ili hali anaweza akapata siku moja na kupotea.
 
Baada ya mimba kuharibika yapata miezi wa miwili sasa imepita na bado hajapata hedhi yake , ili hari anaweza akapata siku moja na kupotea .
Pole sana, ni mabadiliko inaeza kuchukua miezi 3 kama imetoka si kwa bahati mbaya(kutoa) huwa mzunguko utasumbua kurejea katika hali yake ya kawaida usihofu zingatia mlo wa matunda na virutubisho mbalimbali na pumzisha mwili.
 
Pole. Ni kawaida, kuna wanaoenda mpk miezi 3-6. Hormones lazima zifanye regulations. Fanya mazoezi na zingatia kula vzr. Kama kuna any further problem utakwenda hosp for further check up!
 
Nashukuru sana kwa ushauri wako .. Pia husababisha mauvu ya tumbo na hata maziwa huvuja na kuuma
 
Back
Top Bottom