Mi nadhani keysersoze nipatie namba yako nahitaji tutorial kutoka kwako hata kulipa naweza unifundishe cozi nahitaji kuagizia aina hizo za mashine
mkuu>>>>>0652887010
Toa maelezo vizuri dar kubwa....pia ni wengi ambao wanahitaji bidhaa hizo..je una chupa tupu za pafyum,spay na vizibo ? Kama unazo nicheki tufanya business....0652887010
Mara nyingi nafuatilia kuhusu post zenu namna ya kufanya manunuzi mtandaoni.....nashukuru nimepata ufahamu lakini kuna jambo linanitatiza kuhudu dhl,,,,swali..napofanya manunuzi mfano amazoni kwa zile bidhaa zilizoandikwa prime natumiwa automatic maana hakuna chart ya kumuuliza option ya kutuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.