Believe me,hii mipango yote ya kodi na bajeti nzima ya 2021 JPM aliacha ikiwa imekamilika.
Kama bajeti hii ni nzuri credit ziende kwa JPM. Kama ni mbaya lawama ziende kwake pia.
Wewe ndiye unayetia aibu. Taifa haliwezi kuendeshwa bila utaratibu kwa kila mkuu wa mkoa kupanga utaratibu wake. Kila mkoa ni lazima utekeleze sera za nchi.
Hilo povu la nini mkuu!
Acha matusi na vitisho. Serikali hii haiwezi kushindwa kufika kwa sababu ya mtu mmoja! Hayo ni masihara kabisa.
Hoja ya msingi ni kuwa Mtaka amekosea sana kumshambulia waziri mwenye dhamana ya elimu hadharani . Waziri ndie msimamizi wa sera ya elimu na miongozo. Waziri...
Umenena vyema sana.
After all,msimamizi wa utekelezaji wa sera na miongizo ya elimu ni waziri. Alichokisema waziri ndio mwongozo uliopo.
Kama wananchi wa DODOMA wanataka kufanya utaratibu ambao ni kinyume na miongizo,kama kuna masilahi,siyo jambo baya. Lakini kumshambulia hadharani waziri...
Kwenye uraia wa ANTONY NG'WANDU DIALLO Bollen Ngeti anapotosha,au makusudi au kwa kutoujua ukweli.
Uncle Tony ni msukuma original wa Ntunzu. Kwa sababu hiyo uraia wake hauna utata wowote. Ni mtanzania kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.