Hilo povu la nini mkuu!Kwani ambaye ataki analazimishwa? Pumbavu kweli ambaye hataki anaacha watoto wanataka kusoma
Acha upumbavu wako simiyu ya 2014 na simiyu ya 2021 kielimu zipo sawa? Kama sio sawa unajua ni kwanini?
Wewe najua Huyo waziri ni mkeo au mama yako toeni upumbavu wenu hapa na akifukuzwa kazi huyu jamaa nawahakikishia hii serikali haifiki 2025
Acha matusi na vitisho. Serikali hii haiwezi kushindwa kufika kwa sababu ya mtu mmoja! Hayo ni masihara kabisa.
Hoja ya msingi ni kuwa Mtaka amekosea sana kumshambulia waziri mwenye dhamana ya elimu hadharani . Waziri ndie msimamizi wa sera ya elimu na miongozo. Waziri alikuwa anatekeleza wajibu wake.
Kutokana na kadhia hii,bosi wao,raisi wa jamhuri ya muungano ya tanzania ataamua mwenyewe atakavyoishughulikia. Akiamua kutimua Mtaka. Mtaka na wewe hamna cha kumfanya.