Recent content by kindikinyer leborosier

  1. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa mapenzi ulikuacha na kumbukumbu ipi usiyoweza kuisahau?

    Ahadi gani? Unatakiwa Uplay game kwa akili... Ukijimaliza unaweza poteza vingi zaidi.. wengi ni vijana hatujayafikia mafanikio makubwa kiasi hicho... Na kipindi hicho nimemaliza chuo na miaka mitatu tu mtaani, unaamua kuwaza kuacha uzinzi uoe, kumbe Kuna formula kidogo😅
  2. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa mapenzi ulikuacha na kumbukumbu ipi usiyoweza kuisahau?

    Wanawake wengi above 30+ wanamaumivu sana unatakiwa uwe nao kwa akili na uonyeshe unautofauti gani...
  3. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa mapenzi ulikuacha na kumbukumbu ipi usiyoweza kuisahau?

    Habari Wana jamii!! Mpo salama? Mpo poa? . Niende Moja kwa moja kwenye habari, nimewaza hili nikikumbuka matukio mawili ambayo Siwezi kuyasahau, yanafundisha sana, na kuonyesha vile vile. . TUKIO LA KWANZA. nikikua na mpenzi mwanamke mzuri alieajiriwa jeshini ni daktari, alipata mafunzo yote ya...
  4. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

    Hii tuseme ni maneno yametimia... Au kuishi kwingi Kuona mengi .. kwenye maisha yetu wapo watu Wana maono mengi kutokana na vitu walivyopitia au kuvishuhudia... Leo Nick ameachana nae, si jambo jema ila Lina funzo, maisha binafsi ni kuyapeka kibinafsi, mwanamke mmekutana ukubwani Kila mtu alikua...
  5. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nianzie? Naombeni mawazo yenu MMU

    Niuchukue upi?
  6. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Nimepewa mechi nikashindwa kusimamisha

    Piga zoezi haswa, mwili na kegel, kula korosho na maziwa fresh, baada ya week Moja tuu mwite, upumzike pia, uache stress, kunywa maji kabla ya sex, Pole sana, hili swala linaanza kuonekana la kawaida!!
  7. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nianzie? Naombeni mawazo yenu MMU

    We fala nimecheka sana,,, watakupaka mafuta
  8. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nianzie? Naombeni mawazo yenu MMU

    Good boss,, 70 kwa 30 sio mbaya
  9. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nianzie? Naombeni mawazo yenu MMU

    Sawa,, nimewaelewa wakuu!!! 🤣🤣
  10. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nianzie? Naombeni mawazo yenu MMU

    Sawa sawa!!!!
  11. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nianzie? Naombeni mawazo yenu MMU

    Sawa mkuu,, nimekuelewa!!
  12. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nianzie? Naombeni mawazo yenu MMU

    Alimla ndugu yake, ndg yake akawa anatunzwa kama mke, na sio mtz alikua Mcomoro.. hajawahi kumtambulisha mtu yeyote wa kwao... Na kwa Sasa ametoka nje ya tz
  13. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nianzie? Naombeni mawazo yenu MMU

    Mzee inaonekana una experience kubwa sana.. shukran
Back
Top Bottom