Recent content by kinda la baba

  1. kinda la baba

    JamiiForums Tanzania Joto limezidi kuongezeka Dar. Wataalam watusaidie tuishije

    🤔🤔🤔 Duuh
  2. kinda la baba

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa Joto Nchini

    Mkuu ajajua maana ya nyuzi joto 29
  3. kinda la baba

    JamiiForums Tanzania Ubongo Baada ya Kifo: Je, Bado Unawaza?

    Sasa mkuu ukimuona bundi juu ya dari lako utafanyaje 🤣🤣🤣
  4. kinda la baba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri jamani: Nanyanyasika ukweni, eti nimemchezea muda mrefu

    Huyo sio mkeo pimbi wewe
  5. kinda la baba

    JamiiForums Tanzania Kazi za Caregiver Ulaya na USA ni kaza za aina gani?

    Sasa mkuu una konekti yeyote ya hii Kaz
  6. kinda la baba

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Kiwandani (Machine Operators)

    Sawa mkuu mkuu mimi nina uzoefu wa boiler operating nipo dar es salaam vipi sehemu ya kulala ipo na chakula unajitegemea au na je kwa siku wanalipa shingap? Nipo Sirius mkuu
  7. kinda la baba

    JamiiForums Tanzania Wakandarasi wenzangu miradi imeanza kufunguka, tokeni magetoni

    Katika hayo maeneo wapi uhakika nijilipue 🙄🙄🙄
  8. kinda la baba

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati unamfikiria Babu yako unamwona alikuwa mpuuzi kukimbia

    Lakini mkuu kama babu zetu wangechukuliwa sidhani kama mimi na wewe tungezaliwa
  9. kinda la baba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa na mahusiano na watoto ni kazi kweli kweli japo they are very sweety

    We tambaza pale mwaka gani alisoma mimi nilisoma hapo 2017
  10. kinda la baba

    JamiiForums Tanzania Nataka kurudia mtihani wa form four (Naomba msaada wa kituo cha QT Kinondoni)

    Kama wewe ni muislamu nenda pale ridhwaa seminar au mivumoni seminar
Back
Top Bottom