Recent content by kind lady

  1. K

    JamiiForums Tanzania Sifurahii kuwa 'single woman', sijui nifanyeje

    Pole dadangu Mungu kasikia kilio chako endelea kumtumaini ipo siku utayasahau yote
  2. K

    JamiiForums Tanzania Vidonge vya kufanya mwanamke ashike mimba

    Habarini Kwa anayejua vidonge vyovyote vya kumfanya mwanamke ashike mimba haraka . Naomba anijuze na bei yake ikoje (fertility drugus).
  3. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Arusha mjini nije Mbeya mjini sekondari
  4. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Hapa kazi tuu MAGUFULI
  5. K

    JamiiForums Tanzania Toyota platz or toyota cami

    Habari zenu wadau, Nataka kununua gari kati ya hayo niliyotaja hapo juu ila kwa sababu ndio mara yangu ya kwanza kuwa na gari naomba mnisaidie which is the best among the two cars. Budget yangu ni milion 9 na ninataka kuagiza moja kwa moja kutoka Japan. Naombeni ujuzi wenu kuhusu hizo gari
  6. K

    JamiiForums Tanzania Land for sale at a very reasonable price

    Kipo keko ya magurumbashi kina ukubwa wa 500sqm pia kina leseni ya makazi. Bei 6.2mil tzs maelewano yapo. NB: Gari haifiki mpaka kiwanjani. Pm for more details and photos.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Samsang S5 for sale

    Imetumika miezi minne tu warranty ipo. Haina tatizo lolote ni kama mpya. Bei 750000 pm for your number I send you photos in watsapp
  8. K

    JamiiForums Tanzania Vyuo vinavyotoa shahada mkoani Mbeya

    Mimi sio mwenyeji wa Mbeya hivyo naombeni mnisaidie kunifahamisha ni vyuo gani naweza kusoma bachelor of education kwa mwaka Wa masomo ujao.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Toyota vits for sale in Dar es salaam

    Imeshaondoka kitambo Rene
  10. K

    JamiiForums Tanzania Toyota vits for sale in Dar es salaam

    Kwa style gani MATAKATAKA? Mbona gari ishanunuliwa kitambo sana kupitia hilihili tangazo? Ulitaka nitumie style gani? Hahaaaa jf is full of funny people na wajuaji nao ni wengi sana one of them is MATAKATAKA. mrangi njoo umuone huyu anasema hakuna atae chukua gari while the car is yet sold...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Toyota vits for sale in Dar es salaam

    Walio serious walishanunua gari kwa hiyo hiyo bei ya 4m we endelea na dharau zako sisi wenzako tunaendelea kufanya biashara. Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji
  12. K

    JamiiForums Tanzania Toyota vits for sale in Dar es salaam

    Wenye uhitaji walinitafuta na gari ishanunuliwa kitambo na mwanajf
  13. K

    JamiiForums Tanzania Toyota vits for sale in Dar es salaam

    Acha airtel waendelee kugawa bure ila ya kwangu nishauza kitambo sana mulize mrangi
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wekeza kwenye hiki kiwanja Chanika

    Nina shida na hela ambayo haiwezi kusubiri miaka miwili wala mmoja hata hivyo hata mimi nakiuza mara nyingi ya bei niliyonunulianiliyonunulia miaka mitano iliyopita
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wekeza kwenye hiki kiwanja Chanika

    Kina ukubwa wa nusu eka kipo Chanika mtungini karibu na shule ya secondary chanika. Bei 12mil 0784198482. Ukiwekeza kwenye ardhi hutojutia hela yako baada ya mwaka mmoja utakiuza mara mbili ya pesa uliyonunulia. Karibuni
Back
Top Bottom