Wee pimbi nini..? Kwanini usiiambie serikali yako iboreshe miundombinu...!!?
Uone kama kuna ajali zitarekodiwa za kifala kama za sasa...
Mfano Dar-mwanza njia nne, Dar- Tunduma, Dar - Arusha-Namanga halikadhalika Dar -Mtwara. Hapo 100 percentage nchi lazima ifunguke lori litatumia siku 1 tu...
Huna pesa mkuu hivi vitoto ni dau lako tu unakula vya kila aina. Kila kitoto kina bei yake elekezi. Ukiona umekataliwa ujue haujafika dau lake panda dau tu najifanye romantic utavila sana. Ila baada ya hapo ujiandae na safari ya makao makuu ya Azuma. Vina UTI zaidi ya sugu yenyewe. 🙌🙆♀️
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.