Recent content by kinamapula bwoy

  1. K

    Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Sasa kama utabakiwa na mtaji wa peremende huon tayar umeingia kwenye biashara?hapo utahtaji kutanua mtaji wako tu,na si kutafta mtaj tena
  2. K

    Tuliopata Chanjo ya UVIKO-19 Tukutane hapa. Nini kilikutokea ulivyoipata?

    exactly,tena umepatia sana,wengi wataangamia kwa kujikosha kwa mabos wao
  3. K

    Siwezi kufanya biashara yenye kuweka faida ndogo wholesale

    kaz ya duka inatakiwa uifanye kwa moyo na uangalifu mkubwa mno,nje na hapo inaweza kubak stor,kwan inakufanya ustumie hela kwa kurealax uktoa lak moja kuifidia itakuchukua mda
  4. K

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    gharama zake so kubwa sana,mbegu peke ake ni 30,000 kwa hzo ekar mbil,haihtaj mbolea kama shamba linalutuba ata ya wastan na halihtaj mvua ya kutoxha ili listawi ,hasa pale linapochanua huhtaj ukame ili kupata alzet zenye mafuta meng
  5. K

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    mchongo kwa sasa ni kilimo tu,ukilima ekar 2 za alizet lazma utatoka na m4+,mafuta tz imekuwa tatzo wajanja tunachangamkia fursa hii
  6. K

    Jarida la Africa Intelligence laripoti uhusiano kati ya Rais Samia na Dkt. Kikwete

    tatzo hujaelewa maada,hebu angalia wakat magu yupo madarakan,ulikuwa unaona kikwete anatajwa tajwa kushliki kaz au ziara za kiserikal mara kwa mara?the same to kikwete mwenyewe mkapa alikuwa mshauri tu tena asiyetambulika kwenye uso wa watanzania
Back
Top Bottom