Recent content by kinakirefu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Eti wanaulizwa: Mnataka Maji au Maandamano? Wananchi: Tunataka maji, tunataka barabara!

    nape kafanya dhihaka kubwa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Sitashiriki maandamano CHADEMA

    unajisikiaje kuwa sehemu ya ujinga, unakubali kubak kwenye kumbukumbu za usaliti
  3. K

    JamiiForums Tanzania kwa vyuo vikuu vyote vya Tanzania

    ni kwa undergraduate tu au na masters
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kusoma masters UDSM

    hadi 2.8 wanachukuliwa, inategemea unataka kusoma coz gan manake kila coz inavigezo vyake, wameshaanza kutoa matangazo ya application, tembelea mara kwa mara web yao
  5. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza: Baraza kuu la Chadema linaundwa na kina nani?

    Wadau kwan wajumbe wa kamati kuu na baraza kuu la chadema n tofauti maana naamin uamuz utakuwa ule ule watusaidie kututolea msalit zzk
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu receiver za wiztech

    Mimi natumia receiver ya wiztech ila channel zimekata naomba msaada kwa anayefahamu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu receiver za wiztech

    Mimi natumia receiver ya wiztech ila channel zimekata naombeni msaada kwa anayefahamu
  8. K

    JamiiForums Tanzania mishahara mipya ualimu

    weka waraka wa mwaka huu, huu wa mwaka jana wann sasa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Waraka wa mishahara ya walimu umetoka leo, majonzi yaendelea

    b1 laki 304000, c 432000 d 589000 na e 769000 hapa mgomo wa wlimu haukwepeki
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la mishahara kwa walimu

    Jamani mbona hotuba ya waziri wa elimu haijataja asilimia za ongezeko la mishahara kwa walimu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya walimu itapanda

    mkuu usiwavunje moyo walimu, elfu 8500 ni asilimia moja ya mshahara wa sasa na unaanza kwa kusema imepanda sana
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya walimu

    laki mbili na sabini na tano elfu, baada ya makato inabaki 210000
  13. K

    JamiiForums Tanzania Walimu wapya hatuna mishahara

    ingia kwenye website ya bunge, namba za wabunge zimo humo andika jina la mbunge au jimbo lake upazipata
  14. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA, Mbeya

  15. K

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli kuna kuna mishahara mipya kwa waalim?

    inawezekana, lakin mpaka chadema itakapoingia madarakani
Back
Top Bottom