Recent content by kimweri chief

  1. K

    JamiiForums Tanzania TUCTA kuitisha mgomo nchi nzima

    Mbayuwayu mkoba boya tu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi ni nini?

    Marehemu watarajiwa mnatembea marehemu..
  3. K

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Jitu kupe uko correct zantel noma sanaaa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Vipi Kuhusu Daraja La Kigamboni

    Siasa nyingi daraja miaka mingi haliishi tu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Kila siku nawaambie network inazingua sana hakuna cha 2 wala 3g hata h wala e sasa what are you doing nyie au mnataka tuhamie tigo?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Network yenu mbaya sana hata picha hazifunguki Marangu mtoni vip 3g mnampango huo?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kigogo wa madawa ya kulevya wa kike, akamatwa na madawa ya kulevya

    Ingekua jamhuri ya uchina wala tusingeuliza kuhusu kesi ni death row tu kudadeki:thumbdown:
  8. K

    JamiiForums Tanzania Chid Benz apandishwa Kizimbani Jijini Dar leo kwa shitaka la kukutwa na madawa ya kulevya

    Du imekula kwake kekundu labda diamond na wema wamsaidie
  9. K

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Mbona hamuweki 3g mitambo Marangu wenzetu wa tigo wanatunyanyasa sana mpaka tunawaza kununua line za tigo sasa by the way Marangu ni centre ya kitalii fanyeni mipango hiyo maisha yawe ni murua..
  10. K

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Ok sawa boss ila sasa mf ukinitumia picha mpaka ni drop Himo ndo zinafunguka fasta ila to honest yaani nje kwangu tigo 3g pambaneni mtupatie coz hata nyie mtauza sana bandos by the much respect VODA COM kazi ni kwako
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mifuko ya plastiki ni janga la mazingira

    Solution ni kufanya recycle tu kuzuia matumizi so hard sababu matumizi yake ni makubwa coz of durability which is affordable kwa lower class
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mwalimu afumwa na Mwanafunzi wake Nyumba ya kulala wageni

    Hahaa pono kwani hamna chaki za dili au teaching aids
  13. K

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Nyie vodacom mbona Marangu 3g haikamati wakati ukishuka tu Himo ipo by the way Marangu ni mji wa kitalii mbona mko kiboya
  14. K

    JamiiForums Tanzania Majaliwa: Walimu lazima wakatwe fedha za maabara

    We naibu waziri nisije kukutukana bure katwa wewe na familia lako
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mwalimu afumwa na Mwanafunzi wake Nyumba ya kulala wageni

    Duu ticha nae soro ww unapeleka dent test kwani hakuna mgombani imekula kekundu
Back
Top Bottom