Recent content by KIMUKI

  1. KIMUKI

    Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

    We baby, zombie wewe pekee
  2. KIMUKI

    Kingunge ataka dakika 40 za kumchanachana Kikwete

    Huyo kibuda kibogoyo anatafuta kiki miaka yote katunyonya ubungo leo ataongea Nini akafie Monduli mchawi huyo Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
  3. KIMUKI

    Marufuku kukaa karibu na vituo vya kupiga Kura, inatakiwa kukaa umbali wa mita 100

    Utaenda kuona baada ya zoezi zima kukamilika otherwise chama chako kina wakala atakutonya matokeo Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
  4. KIMUKI

    Wanaotumia Facebook ya bure Tigo

    Binti utakuwa una kaugonjwa njoo mlingotini tukutibie Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
  5. KIMUKI

    TANZIA: Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya ACT-Wazalendo afariki dunia

    Lema hatari sana,hope uchaguzi wa Arusha mjini utasogezwa Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
  6. KIMUKI

    Hapana hapo sio Makka ni Arusha

    Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
  7. KIMUKI

    Kajala aonyesha jeuri ya pesa kwa wana Bongo Movies

    Alikuwa mke wa P Funk Majani
  8. KIMUKI

    Wakili CHADEMA kesi ya Igunga, Peter Kibatala atoa tamko juu ya hali ya wateja wake

    Umeripoti wapi kama hao watu kutoka mwanza hawahusiani na chadema
  9. KIMUKI

    Wakili CHADEMA kesi ya Igunga, Peter Kibatala atoa tamko juu ya hali ya wateja wake

    Hata kama ameenda mwenyewe yy ni mtuhumiwa lazima ahojiwe ikibidi apitie ktk hatua muhimu ili atoe maelezo yaliyo sahihi istoshe yy ametajwa na wale waliokamatwa awali sasa unataka polisi wambebe ili iweje amehojiwa kulingana na maelezo aliyotoa mwenyewe,alidai atakula chakula kitakacholetwa na...
  10. KIMUKI

    Wakili CHADEMA kesi ya Igunga, Peter Kibatala atoa tamko juu ya hali ya wateja wake

    Wewe tafuta laana ya mungu,badala ya kumuomba mungu amsaidie yule aliyeumizwa na kuteseka na maumivu ya tindikali unawaombea waovu wanaotesa binadamu wenzao kwa kuwamwagia tindikali,hivi ww kweli una mungu una mungu ww
  11. KIMUKI

    Wakili CHADEMA kesi ya Igunga, Peter Kibatala atoa tamko juu ya hali ya wateja wake

    Maneno ya siasa yanaishia majukwaani,kilewo alijua kuwa na wakili kutamsaidia asibanwe sasa amesema yaliyotokea,yanayotokea na yatakayotokea kama alijimwagia mwambie wakili aweke maelezo aliyokili kilewo
  12. KIMUKI

    Wakili CHADEMA kesi ya Igunga, Peter Kibatala atoa tamko juu ya hali ya wateja wake

    Mkuu atasema tuu,alidanganywa na macho ya wengi sasa yuko Tabora yy na vijana wake wa3
  13. KIMUKI

    Wakili CHADEMA kesi ya Igunga, Peter Kibatala atoa tamko juu ya hali ya wateja wake

    Mahakamani sheria tu,miujiza ya mungu ni gerezani kama ameshindwa kutoka basi hana mungu
Back
Top Bottom