NAMKONG'O
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 519
- 133
Lowasa ndie tunamtaka
Unamtaka wewe! Watu wamebadili gia Magufuri ndio mtazamo wa wengi kwa sasa.
Lowasa ndie tunamtaka
Uchaguzi mnashinda mno Jf sasa wamestukia kupanda dau ili habari zisisambae kwa kasi, kweli Magufuli hana huruma na watz nazidi kumchukia Mimi na kijiji change wote hatumpi kura zetu ng'ooooo, aende bagamoyo akasimamie ujenzi kwa best yake