Recent content by kimjr2013

  1. kimjr2013

    Mgawanyo wa Majimbo: CHADEMA waivuruga UKAWA Mtwara

    Mbona huyo EL ndiye mwl wa Mbowe kubadilisha gia angani, hamlijui hilo?, poleni na msubiri kuokota dodo chini ya mkorosho,ama kweli wajinga ndio waliwao
  2. kimjr2013

    Kutoka Diamond Jubliee Dsm: Mapokezi ya Magufuli baada ya kurejesha fomu NEC

    Acha upumbavu wewe kwani umeambiwa tunapiga kampeni hapa?, muda ukifika utaona na kusikia sera na ilani za vyama, acha kudandia treni kwa mbele
  3. kimjr2013

    Kutoka Diamond Jubliee Dsm: Mapokezi ya Magufuli baada ya kurejesha fomu NEC

    Unapo-quote mtu soma kwanza uelewe ndio uncomment, soma tena ndio ujibu hoja usikurupuke mithili ya nyumbu aliekoswa na mamba mtoni
  4. kimjr2013

    Kampeni ku'unfollow wasanii wanaonunulika na vyama vya siasa

    Nahisi uwezo wako wa kufikiri hata nyumbu anakuzidi, acha kuendeshwa na mihemko ya kisiasa ww kwenye kazi za watu, ukiona wamekuboa kwasababu wametumika CCM, tazama na kusikiliza wasanii wanaotumika Ukawa
  5. kimjr2013

    Kutoka Diamond Jubliee Dsm: Mapokezi ya Magufuli baada ya kurejesha fomu NEC

    Usikariri ubongo wa nyumbu, alichomaanisha sio Photoshop, bali ni kuungaunga watu kutoka mikoa mengine, lkn mwisho wa siku wapiga kura wanabaki wale halisi, mwisho mkishindwa ooh CCM kaiba kura, kumbe mnajiibia wenyewe toka mfuko 1 kwenda mfuko mwingine, mtasubiri sana mpaka akili iwasogee
  6. kimjr2013

    Mpinzani wa Nape Jimbo la Mtama Selemani Mathew Luwongo, ahamia CHADEMA

    Leo yamekuwa hayo?, kweli nyie ubongo wa nyumbu, hata week haijapita mlimuita Kamanda, subirini dawa iwaingie na uroho wenu ndio mjifunze
  7. kimjr2013

    Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

    Kwani wasanii wanaoisupport Ukawa hawana funs waliopo CCM? , mbona mnaanza kuingilia uhuru wa watu?, funs wa msanii wanavutwa na kazi zake na si chama, ukiona kakukwaza uamuzi unao mwenyewe, kwani hapo pia yupo kikazi zaidi kukitumikia chama, msubirini 2025
  8. kimjr2013

    Nani anagombea ubunge kupitia UKAWA jimbo la Ngara?

    Kwani nini maana na dhamira ya Ukawa?, kama nccr haina mizizi si wenye mizizi wamsupport, au cdm ndio mnataka majimbo yote kwa kigezo kuwa mna mizizi?, acheni uroho, ubinafsi na tamaa .Mliambiwa kabla mkarefusha midomo sasa tulieni chombo kiingie taratiiiibu
  9. kimjr2013

    Dhoruba kali yaipiga Meli ya MV Serengeti katika Ziwa Victoria, yafanikiwa kutia nanga salama

    Tatizo nashaka na shule yako, sina muda wa kubishana na ww
  10. kimjr2013

    CHADEMA: Kuweni makini na jimbo la Segerea

    Hamkulijua hilo, endeleeni kuchekelea na kuropoka, mtafurahi tu muda si mrefu, mnafikiri siasa ni jazba?
  11. kimjr2013

    CHADEMA yasambaratika Sengerema

    Subirini ghalika linakuja, acha mafuriko, time will tell
  12. kimjr2013

    Dhoruba kali yaipiga Meli ya MV Serengeti katika Ziwa Victoria, yafanikiwa kutia nanga salama

    Acha ujinga wewe na hadithi zako za vijiwe vya kahawa, unajua principles zizoongoza meli wewe au unaropoka tu?, hivyo unataka tuamini meli na ndege zote zinazopata dholuba na ajali ni kwa sababu si imara?, acha kuleta siasa zako uchwara, peleka ujinga wako vijiweni
  13. kimjr2013

    Dhoruba kali yaipiga Meli ya MV Serengeti katika Ziwa Victoria, yafanikiwa kutia nanga salama

    Bwana ametenda na meli na meli hiyo imeshapaki bandarini salam kabisa, jina lake libalikiwe
  14. kimjr2013

    Dhoruba kali yaipiga Meli ya MV Serengeti katika Ziwa Victoria, yafanikiwa kutia nanga salama

    Kwa jina la Bwana Yesu, wataokolewa wote salama, sema shetani ashindwe kwa jina la Yesu
  15. kimjr2013

    UKAWA kuuza jimbo la Nkenge kwa Dr. Kamala, kuweka mgombea asiyejulikana

    Wewe tulia watafurahi tu, wakiambiwa ukweli wanashindwa kujenga hoja na wanaishia kutoa lugha za kejeli, unafikiri uraisi unapatikanaa kwa jazba na matusi?, ni vigezo na hoja zenye mashiko tu
Back
Top Bottom