Recent content by Kimjoh

  1. Kimjoh

    JamiiForums Je, Course ya BBA inayotolewa UDOM na Mzumbe ipi bora zaidi?

    Habari wanajamvi, Naomba msaada wenu. Mimi mhitimu wa kidato cha sita 2020 HGL ningependa kusoma course ya biashara chuo. Naombeni msaada wenu tafadhali NB: Mathematics nina D O-level
  2. Kimjoh

    JamiiForums Ni chuo gani kati ya hivi ni kizuri katika fani ya accounting na katika kuajirika?

    Mim nataka hiyo ya mzumbe ✌✌✌🔥
  3. Kimjoh

    JamiiForums Bachelor of Art in Business Administration vs Bachelor of Accounting and Finance

    Kwanza haya mambo ya kusema kazi zipo limited sio sahii.Mwisho wa siku hata watu wa accounts na finance wapo wengi tu mtaani na mainjinia wengi tu wamepata ajira. Muhimu ni kufata kile unachokipenda kwanza ili uweze kufanya kazi hiyo kwa juhudi. Anyway kwa kuwa ushaachana na engineering,mm...
  4. Kimjoh

    JamiiForums Ajira kwa kozi za Public Administration na Human Resources

    Daah tuasidieni kwa wale wazoefu tafadhali✊
Back
Top Bottom