Recent content by Kimeta Wa Mpui

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nitamuunga mkono Benard Membe 2015 kama akioteshwa kugombea urais wa Tanzania

    mbona jina lako kama langu we nani wewe
  2. K

    JamiiForums Tanzania Magari ya M4C Yafanywa ya starehe, moja lakutwa bar!

    hahahah hii ya mbowe balaa hivi ni kweli ana ziro
  3. K

    JamiiForums Tanzania Vituko vipya vya Mwigulu huko Iramba.

    **MWONEKANO MAISHA BORA YA MTANZANIA CHADEMA IKISHIKA DOLA 2015** Ni kweli ni bora chadema wachkue nchi ili maisha yawe rahis; 1.Asubuh kazin kwenda sa 4 na hakuna kuulizana ( KWA JINA LA HAKI ZA MFANYAKAZI) 2.Kuibiana wake inakua ni ''fair game'' coz mh rais ndo life style itakua iyo ( NDIO...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi ndani ya CHADEMA lini?

    Huku kikijiita ni chama cha democrasia na Maendeleo Bado Mwenyekiti aliepo sasa hana kura alizopigiwa ili kupata Nafasi Hiyoo. Yote tisa Huku miaka ikiyoyoma hakuna dalili za kuitisha Uchaguzi. 1. JE TUAMINI FALSAFA ZA KIKABILA KUA WACHAGA WANAHOFU ZITO KABWE ATACHAKUA FOMU 2.JE NI KUONYESHA...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Nawashukuru sana wanairamba kwa rekodi hii ya jana, Pole sana Dr. Slaa...

    AN Elephat who kills rat is not recognized as hero""
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ofisa JWTZ ahofiwa kutorokea Rwanda

    mbona kama mkuu wetu wa jwtz kafanana na kagame te he te he tusije tukawa tunamtafuta mdogo kumbu mkuu wao naye kagame memba((((((((((( JUST A JOKE))))))
  7. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Nawashukuru sana wanairamba kwa rekodi hii ya jana, Pole sana Dr. Slaa...

    Usiwachagulie watu wazima cha kufanya wao walichagua hivyo !!! Au umekua msemaji wa wanairamba
  8. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Nawashukuru sana wanairamba kwa rekodi hii ya jana, Pole sana Dr. Slaa...

    Go on mwigulu wanasema walichagua kwenda kwenye mpira sio katiba ni ufinyu wa akili chadema Haiwezi kufanya maamzi yoyote katika taifa hili yani PADRE SLAA atengeneze katiba hahahahahahaah ANY WAY EVERY DOG IS LION ON HIS OWN GATE MLIKUA KATIKA GATE LA LION MWIGULU CHEMBA MKAUMBUKA SASA...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Nawashukuru sana wanairamba kwa rekodi hii ya jana, Pole sana Dr. Slaa...

    Katika hali ya kuwakatisha tamaa wanaharakati wa M4C wanaozunguka nchii zima wakiongozwa na Padre slaa kutafuta huruma za wapiga kura hali imeenda tofauti siku ya jana katika jimbo la iramba ambapo mkutano wenye helkopta na mbwembwe kibao ulihudhuliwa na watu 32 wakati huo huo mwigulu nchemba...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rushwa ni malezi elimu inachangia

    Tafakuri Ya Leo.... Unalalamika Taifa Lina Rushwa unasahau ulifundishwa na wanao wanafundishwa shuleni na waalimu wao ELEZA MAANA YA METHALI ZIFUATAZO 1. PENYE UZIA...................?? 2. MKONO MTUPU..............?? ONGEZEA METHALI Zako na Nahau zinazokufundisha uwe mtoa Rushwa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Salamu Ni Utamaduni Hodi Ni Heshima na adabu

    Sijaja kupanua vidole kama vijana wa chadema nimekuja kupanua akili kupanua fikra kwa maendeleo ya taifa langu wito wa dhati kwenu ni kwa pamoja kuacha kupanua vidole bali tupanue akili
Back
Top Bottom