Recent content by Kimea2022

  1. K

    Toyota porte

    Chukua 5 M
  2. K

    Marekani Yapeleka Ndege 12 za kivita Japan zenye Uwezo wa kutooekana na rada mzozo na N. Korea unavyoendelea

    Kama hazionekani kwenye rada ya North Korea si angeingiza hata moja kwenye anga la Kim tu...Kwa nini tuendelee na alternative to practical wakati mazingira ya kufanyia real practical tunayo?
  3. K

    Israel kumsaidia Trump dhidi ya Kim

    Sure mkuu...watu wamejawa na utumwa wa kufikiri
  4. K

    North Korea ilipoifunga mdomo Israel juu ya mpango wake wa nyuklia

    Israel kujaribu kuingilia suala la North Korea na mpango wake wa silaha za nyuklia na makombora ya balistiki Katika theluthi ya mwanzo ya mwaka huu, 2017, Israel ilijaribu kuishambulia kwa maneno North Korea pamoja na mpango wake wa makombora ya balistiki na silaha za nyuklia. Waziri wa ulinzi...
  5. K

    Israel kumsaidia Trump dhidi ya Kim

    Mkuu, kama kweli huyo mkenya yuko sahihi kuhusu IQ yetu mbona hatujatest makombora ya balistiki na bomu la haidrojeni kama N/Korea ambao nao wanasifiwa kuwa na IQ ya namna hiyo.
  6. K

    Israel kumsaidia Trump dhidi ya Kim

    Habari wakuu... Ni muda muafaka sasa Trump aombe msaada kwa Israel, taifa teule, wasambaratishe mazalia ya ballistic missiles na nuclear reactors za Kim Jong-Un. Kazi hii IDF ikipewa yawezakamilisha ndani ya masaa 12 ya usiku mmoja. Au kama vipi Trump awaombe Waisrael, watu waliopewa akili...
  7. K

    Mfalme wa Oman Mtukufu Sayyid Qabos bin Said amhakikishia Rais Magufuli Ushirikiano Uwekezaji sekta ya viwanda

    Mkuu bora hao Oman watuletee vyerehani vyao hivi: Oil and Gas Data Oil Crude oil production (plus condensate): 918,570 barrels per day (Between June 2012 and May 2017, Tanzania production of crude oil was 0.00 thousand barrels per day). Natural gas liquids production: 5,400 barrels per day...
  8. K

    Kikwete aendelea kuvunja rekodi za kusafiri baada ya kustaafu, atumia zaidi ya bilioni 5.6 kwenye safari za nje

    Pesa za wafadhili zipo wazi kwa ajili ya kushiriki mambo muhimu ya kimataifa na kimaendeleo. Una apply for funding na kuweka wazi gharama za safari, accommodation etc. Kwa wale waliosomea Europe hasa ktk ngazi ya PhD wanajua mambo hayo. Unaweza kuwa wasoma chuo A1 ktk nchi A. But ukasafiri ktk...
  9. K

    Natafuta mchumba(mume)

    Hiyo nc (inch) 6 ni urefu wa nini? Mwili au maumbile?
Back
Top Bottom