Boss mi nipo stop over naomba tufanye kazi hata kwenda mabibo kubeba mazao nina ujuzi wa kuendesha na kuitunza pia kutengeneza matatizo madogo madogo namalizia kozi nit ijumaa mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina madaraja ya Ya BDE ila nitaongeza madaraja yote ya C baada kupewa cheti nit napendelea malori au tours mkuu psv bado cjaongeza lesen
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina daraja B D E ila nitaongeza madaraja ya C zote nasubiria chet kutoka Nit nimepewa living certifacate cheti tunasubiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi.mwenyewe.natafuta kazi ya udereva wa magari makubwa na madogo nimepitia mafunzo ya ufundi magari katika chuo cha veta na pia nimefanyiwa test ya kuendendesha magari ya serikal kupitia wakala wa ukodishaji magari ya serikali GTA. ila nilisimama kwa muda baada ya soko la ajira kuwa gumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.