Uhamiaji kumeoza sana hasa boda ya Airport.Rushwa nje nje mtu anaajiriwa mwaka mmoja tu anamiliki gari nzuri na nyumba ya kisasa tena ni askari wa cheo kidogo sana.
Viongozi ambao ni mawaziri wanaogombea urais au ubunge kwa nini bando wanaendelea na nyazifa zao.huu sio uvunjaji wa katiba.je ushindani ni wa sawa na wenzeke
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.