Walevi tukiwa tunapata mambo yetu hatutaki bughudha so anapewa ili aondoke.
Kuna watu wana kula bia lakini bado wanahisi wanamkosea mungu so kuwapa ombaomba pesa ni kitubio mbele ya mungu.
Lakini wale hawatakiwi kupewa pesa mkononi.tunatakiwa tu apply strength perspectives kuwasaidia.
Jana akijibu swali aliloandaliwa mwalimu .. alisema marufuku mtumishi kuhamishwa bila kulipwa stahiki zake
Tunaandaa namna bora ya kulipa mishahara bora kwa watumishi wa umma. Alisahau kuwa alipokuwa kwenye may mosi alisema mwezinjuly mwaka huu atapandisha mishahara kwa mujibu wa sheria yaani...
Tukubaliane kimsingi kwamba msafara wa raisi huwa hausimamishwi na wananchi ili wamwelezee shida zao! Huu ni uongo mkubwa ambao wale jamaa wa makumbusho tu ndo wanaweza kukubali na kuamini kwa kuwa ndio huwa wanautunga. Msafara wa raisi una kasi na hupita kwa hadhari kubwa mno.
Kuendelea...
Kama kweli anawachukia hao wenye vyeti feki awahakiki wale wa arusha alokuwa anawapa kamisheni juzi! Kama kweli anachukia vyeti feki awambie polisi wote kwa wingi wao wapeleke documents zao zikahakikiwe kama walimu na watumishi wengine. Kisha amalizie na DAUDI ALBERT BASHITE Nndo tuamini mzee...
Hahaha raisi MAGUFULI keshasema alikuta kilo ya sukari 5000 sasa 2600 mzee muongo sana yule. Akiwa shinyanga ameshawahi kumuita jk mzee bure leo yeye ndiyo anaonekana bure bure bure kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.