Recent content by kimaro trederez

  1. kimaro trederez

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyekuwa mwanachana wa CHADEMA Mbunge Jesca Kishoa aomba 2025 itolewe Fomu 1 tu ya Urais kwa Samia Suluhu Hassan

    Huyu dada sijui anawaza nini ccm wenyewe wanataka ushindani fom zitolewe zaidi ya moja sasa huyu dada hajasikia
  2. kimaro trederez

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth Ajichora Tatoo ya Neno Kafir kwa Kiarab

    Bado nasoma ripoti ya CAG nitakuja paadae kuunga mkono hoja
  3. kimaro trederez

    JamiiForums Tanzania Kilichonipa huzuni kuu kwenye iftari ya Mkuu wa mkoa wa Arusha Bwana Makonda

    Hizo ndizo hali zetu mi kwa mtazamo wangu serikali kuanzia kwa balozi wa shina wangeweka utaratibu mzuri jinsi ya kusaidia makundi ya watu lakini kingine hao nao ukifika wakati wa uchaguzi badala waweke mtu anae wajali wao wameweka mbele ushabiki wa kisiasa wanasahau kabisa hali walizo nazo
  4. kimaro trederez

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 29 auawa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu, mume akamatwa

    Kiukweli inakera kuliko kumuua Muite balozi mpigie shekhe aje na ubani kabisa wapigie wazazi wake wape taarifa kua huku binti yao anaolewa
  5. kimaro trederez

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni kweli baada ya kugundua atashindwa uchaguzi, Lissu analazimisha wabunge na madiwani wa CHADEMA wasusie uchaguzi ili eti wawe kama yeye?

    Kwa mtazamo wangu mwaka huu wapiga kura watakua wachache sana rudi katika daftari la mkaazi angalia Madudu yaliyo fanyika wameandika watu ambao sio wakazi wa mtaa husika hii ni dalili ya watu kuchoka na haya mambo tuombe uzima tujionee wenyewe
  6. kimaro trederez

    JamiiForums Tanzania Madai ya Wanawake Wanaoenda Kutufu au Tawaf Kunyanyaswa Kingono Si ya Kweli

    Muda mwingine muwe na hofu ya mungu
  7. kimaro trederez

    JamiiForums Tanzania Hivi Wakristo hawana futari ya Kwaresma, mbona hawafuturishi?

    Aisee nimecheka bila kutarajia kama yupo padri au mchungaji atusaidie jibu kwa ndugu yetu
  8. kimaro trederez

    JamiiForums Tanzania Kuna faida gani mwanamke kuwa Mtunisha misuli?

    Yaani huyu ukimchiti usirudi dadadeki
  9. kimaro trederez

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM itaanguka vibaya mno kwenye uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa na haitaamini

    Aisee ni kweli waanze kujiandaa kisaikolojia
  10. kimaro trederez

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi yaizuia Mkutano wa CCM kufanyika Ngorongoro

    Sema ukweli jicho la dunia linawaona Wamasai ndio maana ccm mmepoa
  11. kimaro trederez

    JamiiForums Tanzania Wananchi tutumie mbinu hizi kujilinda dhidi ya "Watu Wasiojulikana"

    Siku ndugu yao akipotea ndio watajua shida ya kutekana
  12. kimaro trederez

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima, nakushauri usigombee tena ubunge wa Kawe

    Pole sana bwashee mtafutie siku nenda kanisa ni kwake mkumbushe huenda maandiko yanamchanganya
  13. kimaro trederez

    JamiiForums Tanzania Nay wa Mitengo, laana ya baba yake na mihemko ya kisiasa ina mvuruga kichwa

    Katika maisha broo jiepushe na familia za watu sawa ney kakulia mtaani swali la kujiuliza wewe na wazazi wako mmetoa misaada mingapi katika familia yao acha chuki Braza kabla ya kuanza kumchukia ney jiulize unamsaada gani kwake katiba ya nchi inatoa ruhusa kila mtanzania kutoa maoni yake broo...
Back
Top Bottom