Recent content by kimadui

  1. K

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Manispaa ya Tabora ofisi ya Kata ya Mpera yawatoza Tsh 2000 Vijana wanaotuma barua za maombi ya kazi za ukusanyaji wa Anuani za Makazi

    Nyie ndo Huwa hamjielewi hivi nani anatakiwa ajue Hali halisi kati ya anayetafuta ajira na aliye ndani ya ajira? Mwenye ajira si ndo anatakiwa amhurumie ambae Hana maana uhalisia wa maisha unamuumiza Sana asie kua nacho. Wala hii sio ishu ya ubush lawyer kutambua haki zako na mipaka ya kazi ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Manispaa ya Tabora ofisi ya Kata ya Mpera yawatoza Tsh 2000 Vijana wanaotuma barua za maombi ya kazi za ukusanyaji wa Anuani za Makazi

    Naona mnanishambulia tu kumbe mimi ndo nipo nyuma ya wakati Ina maana Siku hizi hata kazi za serikali mpaka utoe kitu kidogo? Haya mambo tulizoea huko kwenye sekta binafsi sio serikalini
  3. K

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Manispaa ya Tabora ofisi ya Kata ya Mpera yawatoza Tsh 2000 Vijana wanaotuma barua za maombi ya kazi za ukusanyaji wa Anuani za Makazi

    Habari za wakati huu wana jamvi, Billa kupoteza wakati Kuna kitu jana nimekishuhudia nikabaki kinywa wazi. Kuhusu hizi nafasi ambazo serikali imekuwa ikitangaza hivi karibuni Katika halmashauri na wilaya mbali mbali nchini kuhusu kazi ya kukusanya na kuweka vibao vya ANWANI ZA MAKAZI. Jambo la...
  4. K

    JamiiForums Tanzania UVCCM wagonjwa hawahitaji picha ya Rais, acheni hizi propaganda

    Iwe Wana mapenzi mema ama tofauti bado kitendo wanchofanya ni Cha hovyo Sana na Cha kutia aibu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wimbo na Matukio

    Kwamba Wana kula tunda kimasihara huku inawasindikiza[emoji3][emoji3]
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wimbo na Matukio

    Natumai mpo good Wana JF, na tunaendelea na kazi na shughuli zetu mbali mbali Ili kulijenga Taifa letu. Turudi kwenye mada tajwa. Hivi ulishawahi kua unafanya kazi fulani ama tendo lolote, ila kipindi unafanya hio kazi ama tendo ukawa unasikiliza redio, mara unasikia nyimbo ambayo ndo mara ya...
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukimkosea Mwanamke usimwombe msamaha, piga kimya. Ukiomba msamaha ndio umeanzisha vita

    Hahaha another vocabulary UROJO UNIT
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi katika umri gani mwanaume anakuwa hana aibu tena?

    Kunyoa tu vuzi mku** du kwa mwanaume tayari aibu ishakutoka,
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano na wake za watu yameniponza na kunirudisha nyuma

    Dah asee hii story yako inafanana na yangu baadhi ya vipengele hasa kile cha kwanza kuitishwa kikao ku confess japo me hakua make wa mtu alikua rafiki wa wife japo walikua hawana ukaribu. Na kipengele cha mwisho kwenye mahindi namim niliingia kwenye biashara hiyo Ila me sikufanikiwa kufika...
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kituko gani unakumbuka siku ya kwanza kusex?

    Nini tufanye sasa tutoke huko?
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kituko gani unakumbuka siku ya kwanza kusex?

    Hata me mwanzo nliona kama wew lakin now days ni vitu vya kawaida sababu jamii kubwa ya vijana ndo stori wazopiga all the time kwa hio haikwepeki ndugu Wala sio ushoga hata makanisani na misikitini mahusiano ndo mada kuu
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kituko gani unakumbuka siku ya kwanza kusex?

    Kabisa yani
Back
Top Bottom