Mahusiano na wake za watu yameniponza na kunirudisha nyuma

Inaendelea 4...............

Baada ya kusalimiana mimi ndio nilienza kuo gea,....nikawatambuli. sha wote wale kwa mchepu wangu kwa kumtaja jina lake,.
Hapo mama alikua anashangaa tu ila ni kama alishahisi kuwa pale hali ya hewa sio nzuri kwa upande wangu.

Baadae nikaanza kuwaeleza uongo wangu,kutokea A hadi Z,kuwa yule binti nilikutana nae chuo,tukaanzisha urafiki wakati tukiwa huko chuo,baadae mm nilimaliza chuo na kumwacha pale na hapo ndio tulipopotezana kwa miaka kadhaa hadi nilipokuja kuajiriwa na kampuni hio ninayofanyia kazi ndio nikamkuta pale na wote tukashindwa kujizua tukajikuta tuna ingia kwenye mapenzi bila kujua kama tunawaumiza wenzi wetu,niliongea porojo nyingi sana na baadae nikaanza kuomba msamaha kwanza kwa Mungu,pili kwa mke wangu,tatu kwa kumwaibisha mama na kumsumbua ,na mwisho kwa shemeji yangu,niliongea sana cku ile,baadae mama akaanza kuongea nae akatukanya kabisa kuwa tuachane na hayo mambo yaliopita,km ni mapenzi yetu bac yabaki kuwa historia.
Na kisha akapewa nafac ya kuongea yule binti mchepu wangu,....

Mtt wa watu akaomba sana radhi kwa mke wangu na kwa mama pia,akasema ameshajifunza na hatorudia tena,...
Mwisho akaanza kuongea wife,...aliongea huku analia,akashtaki mambo mengi sana kwa mama,na akamwambia mama kuwa hana uhakika kama mm nitaachana na yule mwanamke,....mm nikawakikishia wote kuwa uhusiano ushavunjwa rasmi na hakutakua na tatizo tena,...

Kila MTU pale aliongea anavyojua na kila MTU mwenye kinyongo akatema nyongo pale,....baadae tukayamaliza na kupeana mikono na kila moja akakamata njia yake,.mimi na wife haaoo nyumbani,.
Kufika home nilikua najiongelesha kwa kujipendekeza kwa wife balaa,Mara nikamletee juice ,Mara soda,Mara maziwa fresh Mara kukaa kidogo nikachombeza na kupiga game moja matata hatari,..unaambiwa toka nimuoe cjawah kupiga show kama ile,...ilikua show ya kujipendekeza na kumfanya achangamke.....Na alichangamka kweli.

Baadae ananiambia na nikuone tena na huyo Malaya wako kama cjakuachia nyumba yako uendelee nae,....akani tight hadi nikatoa ma password na ma pattern yote kila kona nilipoweka.
Akawa na amani,
Siku hiyo tukalala tukipigana mzigo ucku kucha,kiukweli nilichoka sana,kulala ucngiz ilikua SAA kumi kasoro.Nikaamka asbh nimechoka hatari.Ila amani ilirudi vzr.

Nikajiandaa chap chap nikawahi kazini.
Mwanamke yule alivyo na roho ngumu akaniwahi ofcn kwangu na kuniuliza...eti vp imekuaje?
Nikajibu amani imerudi.
Nikamwomba asipige cm yangu wala kutuma text maana password zote nimetoa.
Eti anasema atajitahidi japo cjui km ataweza,anasema kuniacha hatoweza,akaniomba sana tusiachane,eti utamu wa penzi nililompa kamwe hawezi kuliacha likapita hivi hivi,anasema mm ndo nimemrudishia furaha yake na hata ndoa yake ina amani maana mumewe hamkati kiu lkn mimi namkata kiu na akirudi kwa mumewe amani imetawala,...
Nikamwambia kwako amani imetawala ila kwangu kunayumba.

Akanibembeleza sana kuwa hatatuma msg wala kupiga cm yangu ,eti mimi ndo niwe namtafuta nikiwa na nafac,akasema tutakua tunapanga mipango yetu tukiwa pale ofcn na tukitoka tunaenda kutinduana kisha kila MTU anarudi kwake kimya kimya,...
Unadhani niliweza kukataa??...naanzaje kumkatalia mtt mzr,mtamu,mnyenyekevu,mtulivu,ananiheshimu,kiukweli ckuweza.
Nilipokubali kuwa kweli mtt kakolea ni kwamba cku akihitaji penzi anagharamia hadi lodge yy mwenyewe, yani tukikutana lodge Mara kumi bac yy analipa Mara 6 na mimi Mara 4,kuna cku anakuja asbh na vocha ya elf 10 ananiambia nijiunge kifurushi cha mwezi,Mara aniletee suruali na shati mpya kabisa,size yangu anaijua.kifupi duka LA yule jamaa nimelila saana.

Tuliendelea na mapenzi ya siri kwa siri bila MTU kushtuka kwa miaka kama miwili HV,baadae tukaja kukorofishana nikapiga chini jumla,sababu za kukorofishana ni nyingi,ila sio za kucheat,ni vitabia tu vya ajabu ajabu km kutuma msg nikiwa home,Mara kutaka kunibusu na kunikumbatia kila mahali hadi ofcn wakagundua kuwa nakula.

Mwisho wa yote nikaona hapa kuna kuja kufirw*.nikapiga chini japo ilikua kwa mbinde lkn hatimae ikapita miezi nae akazoea.alizoea japo huwa haipiti wiki au wiki 2 asinambie kuwa ameimic mb** yangu na Kuniomba nimuonjeshe ila nilikuwa mgumu hadi akazoea.
Huyu mwanamke nahic alinitia gundu kwa wake za watu,yy ndio alinifungulia mlango wa kutembea na wake za watu.
Ikapita miezi kama minne nikiwa sina mchepuko Mara cku moja naona cm yangu inaita,namba ngeni, siijui kabisa.kupokea nasikia sauti ya kike,kuuliza nani mwenzangu?,akajibu mm Sauda,(sio jina lake halisi)

Nikauliza sauda wa wapi?,akanijibu jmn umenisahau sauda mapenzi wako wa miaka ya nyuma tokea chuoni tulipokua tunasoma?
....Nikurudishe nyuma kidogo.........

Kipindi nipo chuo nasoma kuna binti mmoja alikuja first year mimi nikiwa second year,huyu binti alikua mdogo sana kiumri,alikuwa mrembo kweli kweli,na alionesha Kunipenda sana,mimi ckua na mpango nae hata kidogo,nilimchukulia kawaida tu japo yy alionesha kunipenda sana,nilikuja kutambua kuwa ananipenda baada ya kumtuma rafiki yangu mmoja aniletee kadi ya Valentine, taratibu nami nikaanza kumuingiza akilini,nikaona nisipoteze hii babati ya mtende,mtt kajileta mwenyewe halafu nimwache hivi hivi?....itakua ngumu.
Nikamwomba tukutane weekend moja mjini,akakubali.jumapili ikafika tukakutana mjini mahali moja tukawa tunapata soda taratibu,nikaanza maongezi,..

Mwanaume nikapiga sound zote cha ajabu Sauda akachomoa,imba imba na wewe mtt wapi,ingiza vocal piga na mixing Sauda kachomoa,nikamshangaa sana yule mtt,cku zote anaonyesha Kunipenda tena sana,hadi washkaji wananiambia kuwa mtt ananipenda,Leo hii naamua kuweka maneno mezani tuyajenge eti kenyewe kanachomoa,.kanasema eti yy bado mdogo sana na anaogopa kuingia kwenye mahusiano,...akanipa option mbili,moja tuishi kwa kuheshimiana kama kaka na Dada na akaahidi kunipenda na kuniheshimu kama kaka yake na option ya pili akanambia kama kweli Nina mapenzi ya kweli kwake basi nimsubiri hadi amalize chuo ndio tuanze mahusiano,ila kwa sasa hayupo tayari.

Nikaona haka katoto kananizingua,yani nimsubir miaka miwili mbele halafu ntaishije bila kapu manyoya?
Nikajibu kwa mkato kuwa nimechagua tuwe km kaka na Dada kisha nikanyanyuka bila kuaga nikasepa.Cha ajabu bado hakukoma kunisumbua pale chuoni,kila Mara anatuma text Mara nimekumisi Mara nimemchunia,Mimi nikawahi sina habari nae tena.
Nikamaliza chuo nikaingia mtaani kuparangana nikiwa nisha badilishaga hata line,nikapata mtt na heshima zake nikaoa,Mara nikapata kazi nzuri,Mara nikapata mke wa MTU nikala karibu miaka miwili nikaacha,nikatulia tena na ndoa yangu Mara Leo anakuja kunitafuta cjui kapata wapi namba zangu.

Nikaona Mungu wangu,Yale niliyodanganya cku ile kuwa yule mke wa MTU tulianzia chuoni tuakutana tena uraiani ndio haya yanakuja kutokea kiukweli kweli sasa,Sauda akanambia kuwa yupo pale mjini kwetu na ameambiwa kuwa na mi nipo nafanya kazi mahali na nimeoa,nikajibu ndio nimeoa,akanambia hata yy pia ameolewa na mwalimu wa shule na ana mtt mmoja wa kike,...akanambia amekuja na mume wake kwao kwa mumewe na akaomba tuonane cku hiyo jioni.

Nikamkubalia na jioni kweli tukaonana,ckua na mengi sana ya kuongea nae zaidi yy ndo alikua muongeaji sana,akaniomba sana nimsamehe kwa kunikatàlia kuwa wa penzi kipindi tunasoma,akasema ilikua ni utoto tu na sasa anajuta maana Leo hii yy ndo angekua mke wangu. Aliongea sana cku ile na akaomba msamaha sana hadi nikajikuta nalainika na kuingia line mazima,cku ile nikapiga Sauda na kuanzia cku hio hadi Leo bado napigaga Mara moja moja tukionana maana yy anaishi mkoa mwingine.nimepiga sana Sauda hadi mimba akabeba ikabidi aitoe maana mtt atatoka mweusi tii kama mimi nilivyo,na yy na mume wake wote ni weupe pee,na mtt wao pia mweupe,Sauda ikabidi aichomoe kwa hofu.(Mungu nisamehe).....ckuishia hapo kwa sauda......
................
.........inaendelea baada muda mchache.
"Allah hapendi kudhihirisha /kuyataja maovu isipokuwa kwa mtu ambaye pengine anatoa ushahidi katika kujiepusha na dhulma. Allah yeye ni mjuzi na msikivu." Hujatenda sawa kuelezea hatua kwa hatua juu ya machafu uliyoyatenda siku za nyuma,ilikuwa ni wajibu kwako kujuta,kuomba msamaha na kumuahidi Allah kutorudia dhambi/madhambi hayo. Katu usisimulie,fikiria kwamba hata matendo mema ,haifai kuyasimulia kwa kuchelea kukosa radhi zake Muumba. Seuze uovu unaotia hamasa natashwish kwa wengine. Allah atusamehe sote kwa yote tunayomkosea. Allahumma Aamin
 
Wazee sugu
tapatalk_1628278941168.jpeg
 
Sehemu ya mwisho...........
........................

Nikatoka pale mti mmoja nikiwa sina hata ninapokwenda,yani sina plani yyt wala sielewi chochote cha kufanya,nikatoka pale kwa kamanyola nikaamua kuchanja kwa miguu hadi bamaga,bamaga nikakata kulia ile njia inayopita mabatini moja kwa moja,nikatembea kwa miguu hadi Biafra, muda huo nafika Biafra ni mchana SAA tisa,nikaingia kwa wakala nikatoa laki 3 crdb,nikapanda boda kurudi sinza tena maana nishachoka kutembea kwa miguu,nikafika mahali nikaona kibao cha massage nikaingia.kufika ndani nakuta mabinti kibao wote nusu uchi,udenda ukanitoka,nikaulizia bei ya massage nikatajiwa,nikalipa 40,000,nikaingia na mdada chumbani,akanipiga massage yake na baada ya kuona nimezidiwa akadai 30,000 ya nyongeza ili anipe tunda,ckubisha nikatoa,nikapewa goli 1 kwa elfu 30 na massage 40,jumla 70,nimetoka pale nyege zimeisha ndio najilaumu kwamba nimepoteza 70k hv hv,kwa kupata goli 1,muda huo SAA 11 jioni cjala chochote zaidi ya supu nilikunywa muda ule natoka mti mmoja,....nikachukua boda hadi mawasiliano nikapanda gari za tabata,nikashuka bima,nikatafuta lodge nzuri pale nikapata ya elf 30,000.nikatoka nikaenda zangu kwetu pazuri,nikaagiza kuku mzima bila ndizi choma wala ugali,nikamchakata akaisha nikashusha maji kubwa.
Muda huo SAA 12 jioni,
Nikaagiza Serengeti lite bariidi nikaanza kuzishusha,nikanogewa,nilizishusha sijui ngapi hata sikumbuki idadi,...ila zaidi ya kumi na kuendelea,...... Sasa nimelewa,nikatamani kutafuta demu nikaogopa ataniibia maana nishalewa.SAA tano ucku nikatafuta bajaji ikanirudisha kulala Lodge,
Cku inayofuata nikaona hapa dar kwa stress nilizonazo nitakula hii hela hadi iishe bila kufanya chochote,....nikampigia jamaa mmoja tulifanyaga nae kazi kipindi cha nyuma,nikamuuliza alipo akanambia yuko kwao Dodoma wilaya ya chemba anapambana na kilimo,...huyu jamaa yy alitumbuliwa na Magu kwa kufoji cheti 2017,na Mimi nikatimuliwa kwa makosa ya kizembe na kusababisha eti wao wanasema hasara kwa serikali kwa kuingia mkataba mbovu,mkataba wenyewe ulikuwa unahusu jamaa mmoja aliekuwa ana supply vifaa vya ofisi,na kweli kwenye ile ishu nilipiga hela kidogo kama milioni 2 ila wao wakanambia nimesababisha hasara ya 18 milioni,nikaishia jela miezi kadhaa na kazi nikakosa,.
Bac huyu jamaa aliitwa sele,sele nikamwambia bwana nimejiingiza mwenye biashara ya mazao imenipiga hasara kubwa,....sele akanambia niachane na biashara,akanishawishi niende chemba nikakodi mashamba tulime,na yy akaahidi kunisaidia ushauri maana yy ni mzoefu kiasi..cku inayofuata nikapanda basi zinazoenda hadi babati kutoka dar,...nikashuka chemba pale SAA tisa mchana,jamaa akanipokea vzr tu.jioni tukakaa mahali na kupanga mipango yetu,akanambia kuwa sasa tuwahi mashamba kabla hayajapanda bei za kukodi,kwa wakati huo tulipata sh 20,000 kwa kila heka,nikachukua heka 40 kwa sh laki 8,tukaanza kuandaa shamba kwa kusafisha.baadae tukatulia kusubiri msimu wa mvua uanze tulime na kupanda,...wakati tukisubiri msimu wa mvua nikaondoka kwanza kurudi home arusha kusalimia familia,....
Dah jamani ukimtegemea Mungu kwa kweli unafanikiwa sana,nimefika Arusha nikakuta wife biashara imekubali kweli kweli,duka limependeza na ile 2m nilomuongezea ameongeza vitu vingi ambavyo hakuwa navyo mwanzo,na biashara ilikua inatoka kweli kweli,wife akanambia napoteza muda tu kuzunguka mwenye mabiashara yanayonipa hasara wakati pesa IPO pale pale mjini,akanishauri sana nifungue duka lingine tofauti na like lake na kujaza Mali kisha kila mmoja asimame na duka lake,nikamwambia kuwa nishaingiza pesa nyingi kwenye kukodi shamba na kulisafisha,tukashauriana na wife kuwa baada ya kuvuna na kuuza bac nirudi mjini nikawekeze zaidi,ukweli nilitamani kuanza biashara kama ya wife maana kwa Siku nilozokaa nae pale dukani kwake nilishuhudia mauzo yake yalivyo mazuri.
Cku zilienda hatimae msimu wa kilimo ukawadia,nikafunga safari kurudi chemba kwenye kilimo,tulipanga kupanda alizeti na mahindi.nikaingiza trekta shambani kulima,on kanunua mbegu na kupanda,nikaendelea na matunzo ya shamba hadi kupalilia na kuvuna,mavuno hayakuwa mazuri sana kiasi cha kupata faida nzuri,baada ya kuvuna ckutaka kupoteza muda nikauza mazao,kwa msoto wote niliopata shambani nikaambulia faida ya sh laki 8 pekee,nilikua naandika kila shilingi niliyotumia hadi nauli za basi,chakula na malazi,mwisho wa cku naambulia faida ya laki 8 kwa miezi zaidi ya 6,nikashukuru Mungu kwa hicho kidogo maana angalau hela ilirudi,
Nikaondoka kurudi mjini,nikakuta wife kwa biashara yake ile ndogo ametengeneza faida ya milioni na laki 4 kwa kipindi mm nipo nahangaika na shamba lililonipa faida ya laki 8 pekee,hio milioni na laki 4 ya wife ni faida alotengeneza tofauti na mtaji matumizi ya nyumbani.
Nikaanza kutafuta fremu nzuri iliopo site nzuri ya kazi.nikapata maeneo ya Shamsi,fremu nzuri tu nikalipa kodi ya mwaka,nikafungua duka LA nafaka,.....nauza mchele wa magugu,wa kahama,na wa mbeya,nauza maharage ya sina mbalimbali,nauza choroko,kunde,ufuta,ulezi,karanga,mahindi,na unga wa mahindi,nauza pia njugu,unga wa ngano,mafuta ya alizeti,dagaa,na vingine vingine.nilipata shida kidogo kukusanya mahitaji ila baadae nikajaza kila kitu,hio ilikua 2019 mwezi wa 7,kazi nikawa napiga mwenyewe,na kazi ikaenda vizuri sana,nikatafuta kijana wa kunisaidia ambae alikua shemeji yangu mdogo ake wife.Nikarudi kufanya ibada zilizonyooka,kifupi nikamrudia Mungu baada ya kuona nimetulia na hela inaingia....
Akiba Benki nikabakisha milioni 2 tu,zingine zote nikaingia dukani,jamani asikwambie MTU Mungu ukimtegemea anakuokoa,nilishakata tamaa kabisa ya maisha baada ya kwenda jela...,Sasa hivi mtaji umekuwa mkubwa hadi nafata Mali mwenyewe,kama mchele napiga simu kahama natumiwa hadi tani 10.hela kiukweli imeongezeka sana na usafiri nimenunua mwaka huu mwez wa 3,japo nimenunua gar ya kawaida tu raum lakini inanisaidia sana,...Mambo yakienda hivi natarajia mwisho wa mwaka nifungur duka lingine LA nafaka mtaa mwingine maana nataka zinalipa,MTU hawezi kushinda na njaa,lazima atakuja kununua tu chakula,tofauti na maduka ya vitu kama nguo,nguo MTU akiwa hana pesa atavaa nguo za zamani ila chakula atakopa hata pesa anunue chakula cku ziende,nawashauri wadau mjaribu hii biashara,ukiangalia faida yake ni ndogo ila inauzika sana,unajikuta jioni mauzo yako ni laki 4 hadi 4.5,ukitoa mtaji hapo faida inachezea 50-70 kwa cku,ni pesa nzuri sana,wife nae hakosi faida ya 30 kwa cku,maisha yanasonga kwa Uwezo wake Allah.Nilikuja kumuomba wife msamaha kwa yote machafu nikimfanyia nae akanisamehe na kusema nizidishe kuomba msamaha kwa Mungu maana ndio nimemkosea zaidi.
Eti cku moja mwaka huu mwanzoni yule Sauda akanitafuta tena,cjui anatoaga wapi namba zangu huyu Dada,akadai yupo arusha na amenimisi,akaomba tuonane,nikajua hapa narudishwa tena kule kule kwenye mabalaa na manuksi ya wake za watu,nilimfokea sana kwenye cm,nikamwambia we mwanamke koma kabisa kunitafuta,kwa tulia na ndoa yako na umuheshimu mumeo,mm sio yule wa miaka ya nyuma tena km ulivyozoea,mm nimerudi kutenda mema na nikaomba asipige namba zangu maana zitaanza kuleta vishawishi,wanawake wengine cjui wakoje jamani,akawa hasikii na kuzidi kunisumbua hadi nikamtukana matusi ndio akakoma(Mungu nisamehe kwa kumtukana),...ilikua sina jinsi ya kufanya maana alitaka kunizoea,...
Namshukuru Mungu hadi hapa nilipo na ninatamani Mungu anisamehe kwa maovu niliyofanya.
Nawashauri vijana wenzangu na wakubwa zangu na wadogo zangu waume kwa wanawake,tujifunze kuheshimu ndoa zetu na ndoa za watu wengine,tuzihifadhi tupu zetu pia.
Majanga mengine ktk maisha huwa yanakuja kwa mikosi na lawama za watu wengine tunaowadhulumu,kudhulumu sio lazima udhulumu Mali tu,Bali hata kuzini na mke wake au muwe wake pia umemdhulumu,..
Nimependa kuwashirikisha ili atakaejifunza na wajifunze,asije kupita nikipopita mimi na kupata madhara kama yangu au makubwa zaidi yangu,Mimi Mungu aliniepusha kuuwawa,kufanyiwa unyama wa kudhalilishwa na pia aliniepusha na maradhi japo alichapa fimbo ya kuniadhibu kimaisha lakini nimetubu kwa dhati na sasa naona nafuu ya maisha.
Asanteni sana kuwa kushiriki pamoja,na ninawaomba mjifunze kutokana na matukio hayo,msisome tu kama burudani na kisha mkaja kupita nilipopita ndugnizangu.Leo nimeutua mzigo mzito
Naweka kalamu chini...
Amani ya Mungu iwe nanyi.
Aise nimesoma mkasa huu kwa zaidi ya saa zima. Nimejifunza mambo mengi sana
1. Usaliti sio mzuri na ipo siku utajulikana na utakugharimu tu
2. Waajiriwa tusitegemee ajira pekee yake bali tuwe na hata biashara ndogo
3. Biashara ya mazao au chakula inalipa sana maana hakuna siku watu wataacha kula chakula.

Asante sana Mkuu kwa visa vyako. Kwa mateso uliyoyapata sisi tumepona

Nakutakia kila la heri kwenye maisha mapya baada ya kujirekebisha
 
Ahsante Kwa simulizi...

Chapter Closed...
 
Mwanamke km hajaamua kukuacha yeye,mara nyingi hata ukiamua umpige chini inakuwa ngumu sn kuachana nae..tena km mkiwa mnafanya kazi pamoja au watu mnaoonana mara Kwa mara,ni ngumu sn kuchomoa

Kwa nijuavyo Mimi mwanamke ndy anaacha

Nimejaribu kumuacha binti Fulani mara kadhaa tena na mikwara mizito lkn akilia lia kidogo tu namrudia
Wewe ni dhaifu, mwanamke anaacha kwako, usitujumuishe wengine.
 
Mkuu napenda kukujulisha kuwa mke wangu huyu anafaa kumfanya darasa tosha kwa baadhi ya wanaume wenye tabia mbovu km mm nilivyo,na pia kwa wadada wenye tabia mbovu anafaa kuwa kiigizo chao,ktk umalaya wangu wote huyu bidada hakuwahi kubadilika hadi Leo,cjui nyuma ya pazia maana ni binaadamu na yy,ila nakuhakikishia ckuwahi kumuona na chembe ya usaliti,
Hata mm naamini wapo wanawake wa hivyo
 
Ndio hapa msemo wa mwanaume hata umpe nini hatoridhika Bora ufanye kwa nafasi yako na usimtarajie sana over
 
Haya ndo maisha ya watu wengi sana kwa sasa.Na imekuja kuwa hivo automatically sijui kwann?
 
Bwana bwana asikwambie MTU,penzi LA kuiba cjui linakuwaga na nini?

Sijui kwanini?Halafu haukomi!
 
Dah asee hii story yako inafanana na yangu baadhi ya vipengele

hasa kile cha kwanza kuitishwa kikao ku confess japo me hakua make wa mtu alikua rafiki wa wife japo walikua hawana ukaribu.

Na kipengele cha mwisho kwenye mahindi namim niliingia kwenye biashara hiyo Ila me sikufanikiwa kufika hata sokoni nilipigwa Hela yote huko huko Kijijin. Maisha haya acha tu.
 
Sehemu ya mwisho...........
........................

Nikatoka pale mti mmoja nikiwa sina hata ninapokwenda,yani sina plani yyt wala sielewi chochote cha kufanya,nikatoka pale kwa kamanyola nikaamua kuchanja kwa miguu hadi bamaga,bamaga nikakata kulia ile njia inayopita mabatini moja kwa moja,nikatembea kwa miguu hadi Biafra, muda huo nafika Biafra ni mchana SAA tisa,nikaingia kwa wakala nikatoa laki 3 crdb,nikapanda boda kurudi sinza tena maana nishachoka kutembea kwa miguu,nikafika mahali nikaona kibao cha massage nikaingia.kufika ndani nakuta mabinti kibao wote nusu uchi,udenda ukanitoka,nikaulizia bei ya massage nikatajiwa,nikalipa 40,000,nikaingia na mdada chumbani,akanipiga massage yake na baada ya kuona nimezidiwa akadai 30,000 ya nyongeza ili anipe tunda,ckubisha nikatoa,nikapewa goli 1 kwa elfu 30 na massage 40,jumla 70,nimetoka pale nyege zimeisha ndio najilaumu kwamba nimepoteza 70k hv hv,kwa kupata goli 1,muda huo SAA 11 jioni cjala chochote zaidi ya supu nilikunywa muda ule natoka mti mmoja,....nikachukua boda hadi mawasiliano nikapanda gari za tabata,nikashuka bima,nikatafuta lodge nzuri pale nikapata ya elf 30,000.nikatoka nikaenda zangu kwetu pazuri,nikaagiza kuku mzima bila ndizi choma wala ugali,nikamchakata akaisha nikashusha maji kubwa.
Muda huo SAA 12 jioni,
Nikaagiza Serengeti lite bariidi nikaanza kuzishusha,nikanogewa,nilizishusha sijui ngapi hata sikumbuki idadi,...ila zaidi ya kumi na kuendelea,...... Sasa nimelewa,nikatamani kutafuta demu nikaogopa ataniibia maana nishalewa.SAA tano ucku nikatafuta bajaji ikanirudisha kulala Lodge,
Cku inayofuata nikaona hapa dar kwa stress nilizonazo nitakula hii hela hadi iishe bila kufanya chochote,....nikampigia jamaa mmoja tulifanyaga nae kazi kipindi cha nyuma,nikamuuliza alipo akanambia yuko kwao Dodoma wilaya ya chemba anapambana na kilimo,...huyu jamaa yy alitumbuliwa na Magu kwa kufoji cheti 2017,na Mimi nikatimuliwa kwa makosa ya kizembe na kusababisha eti wao wanasema hasara kwa serikali kwa kuingia mkataba mbovu,mkataba wenyewe ulikuwa unahusu jamaa mmoja aliekuwa ana supply vifaa vya ofisi,na kweli kwenye ile ishu nilipiga hela kidogo kama milioni 2 ila wao wakanambia nimesababisha hasara ya 18 milioni,nikaishia jela miezi kadhaa na kazi nikakosa,.
Bac huyu jamaa aliitwa sele,sele nikamwambia bwana nimejiingiza mwenye biashara ya mazao imenipiga hasara kubwa,....sele akanambia niachane na biashara,akanishawishi niende chemba nikakodi mashamba tulime,na yy akaahidi kunisaidia ushauri maana yy ni mzoefu kiasi..cku inayofuata nikapanda basi zinazoenda hadi babati kutoka dar,...nikashuka chemba pale SAA tisa mchana,jamaa akanipokea vzr tu.jioni tukakaa mahali na kupanga mipango yetu,akanambia kuwa sasa tuwahi mashamba kabla hayajapanda bei za kukodi,kwa wakati huo tulipata sh 20,000 kwa kila heka,nikachukua heka 40 kwa sh laki 8,tukaanza kuandaa shamba kwa kusafisha.baadae tukatulia kusubiri msimu wa mvua uanze tulime na kupanda,...wakati tukisubiri msimu wa mvua nikaondoka kwanza kurudi home arusha kusalimia familia,....
Dah jamani ukimtegemea Mungu kwa kweli unafanikiwa sana,nimefika Arusha nikakuta wife biashara imekubali kweli kweli,duka limependeza na ile 2m nilomuongezea ameongeza vitu vingi ambavyo hakuwa navyo mwanzo,na biashara ilikua inatoka kweli kweli,wife akanambia napoteza muda tu kuzunguka mwenye mabiashara yanayonipa hasara wakati pesa IPO pale pale mjini,akanishauri sana nifungue duka lingine tofauti na like lake na kujaza Mali kisha kila mmoja asimame na duka lake,nikamwambia kuwa nishaingiza pesa nyingi kwenye kukodi shamba na kulisafisha,tukashauriana na wife kuwa baada ya kuvuna na kuuza bac nirudi mjini nikawekeze zaidi,ukweli nilitamani kuanza biashara kama ya wife maana kwa Siku nilozokaa nae pale dukani kwake nilishuhudia mauzo yake yalivyo mazuri.
Cku zilienda hatimae msimu wa kilimo ukawadia,nikafunga safari kurudi chemba kwenye kilimo,tulipanga kupanda alizeti na mahindi.nikaingiza trekta shambani kulima,on kanunua mbegu na kupanda,nikaendelea na matunzo ya shamba hadi kupalilia na kuvuna,mavuno hayakuwa mazuri sana kiasi cha kupata faida nzuri,baada ya kuvuna ckutaka kupoteza muda nikauza mazao,kwa msoto wote niliopata shambani nikaambulia faida ya sh laki 8 pekee,nilikua naandika kila shilingi niliyotumia hadi nauli za basi,chakula na malazi,mwisho wa cku naambulia faida ya laki 8 kwa miezi zaidi ya 6,nikashukuru Mungu kwa hicho kidogo maana angalau hela ilirudi,
Nikaondoka kurudi mjini,nikakuta wife kwa biashara yake ile ndogo ametengeneza faida ya milioni na laki 4 kwa kipindi mm nipo nahangaika na shamba lililonipa faida ya laki 8 pekee,hio milioni na laki 4 ya wife ni faida alotengeneza tofauti na mtaji matumizi ya nyumbani.
Nikaanza kutafuta fremu nzuri iliopo site nzuri ya kazi.nikapata maeneo ya Shamsi,fremu nzuri tu nikalipa kodi ya mwaka,nikafungua duka LA nafaka,.....nauza mchele wa magugu,wa kahama,na wa mbeya,nauza maharage ya sina mbalimbali,nauza choroko,kunde,ufuta,ulezi,karanga,mahindi,na unga wa mahindi,nauza pia njugu,unga wa ngano,mafuta ya alizeti,dagaa,na vingine vingine.nilipata shida kidogo kukusanya mahitaji ila baadae nikajaza kila kitu,hio ilikua 2019 mwezi wa 7,kazi nikawa napiga mwenyewe,na kazi ikaenda vizuri sana,nikatafuta kijana wa kunisaidia ambae alikua shemeji yangu mdogo ake wife.Nikarudi kufanya ibada zilizonyooka,kifupi nikamrudia Mungu baada ya kuona nimetulia na hela inaingia....
Akiba Benki nikabakisha milioni 2 tu,zingine zote nikaingia dukani,jamani asikwambie MTU Mungu ukimtegemea anakuokoa,nilishakata tamaa kabisa ya maisha baada ya kwenda jela...,Sasa hivi mtaji umekuwa mkubwa hadi nafata Mali mwenyewe,kama mchele napiga simu kahama natumiwa hadi tani 10.hela kiukweli imeongezeka sana na usafiri nimenunua mwaka huu mwez wa 3,japo nimenunua gar ya kawaida tu raum lakini inanisaidia sana,...Mambo yakienda hivi natarajia mwisho wa mwaka nifungur duka lingine LA nafaka mtaa mwingine maana nataka zinalipa,MTU hawezi kushinda na njaa,lazima atakuja kununua tu chakula,tofauti na maduka ya vitu kama nguo,nguo MTU akiwa hana pesa atavaa nguo za zamani ila chakula atakopa hata pesa anunue chakula cku ziende,nawashauri wadau mjaribu hii biashara,ukiangalia faida yake ni ndogo ila inauzika sana,unajikuta jioni mauzo yako ni laki 4 hadi 4.5,ukitoa mtaji hapo faida inachezea 50-70 kwa cku,ni pesa nzuri sana,wife nae hakosi faida ya 30 kwa cku,maisha yanasonga kwa Uwezo wake Allah.Nilikuja kumuomba wife msamaha kwa yote machafu nikimfanyia nae akanisamehe na kusema nizidishe kuomba msamaha kwa Mungu maana ndio nimemkosea zaidi.
Eti cku moja mwaka huu mwanzoni yule Sauda akanitafuta tena,cjui anatoaga wapi namba zangu huyu Dada,akadai yupo arusha na amenimisi,akaomba tuonane,nikajua hapa narudishwa tena kule kule kwenye mabalaa na manuksi ya wake za watu,nilimfokea sana kwenye cm,nikamwambia we mwanamke koma kabisa kunitafuta,kwa tulia na ndoa yako na umuheshimu mumeo,mm sio yule wa miaka ya nyuma tena km ulivyozoea,mm nimerudi kutenda mema na nikaomba asipige namba zangu maana zitaanza kuleta vishawishi,wanawake wengine cjui wakoje jamani,akawa hasikii na kuzidi kunisumbua hadi nikamtukana matusi ndio akakoma(Mungu nisamehe kwa kumtukana),...ilikua sina jinsi ya kufanya maana alitaka kunizoea,...
Namshukuru Mungu hadi hapa nilipo na ninatamani Mungu anisamehe kwa maovu niliyofanya.
Nawashauri vijana wenzangu na wakubwa zangu na wadogo zangu waume kwa wanawake,tujifunze kuheshimu ndoa zetu na ndoa za watu wengine,tuzihifadhi tupu zetu pia.
Majanga mengine ktk maisha huwa yanakuja kwa mikosi na lawama za watu wengine tunaowadhulumu,kudhulumu sio lazima udhulumu Mali tu,Bali hata kuzini na mke wake au muwe wake pia umemdhulumu,..
Nimependa kuwashirikisha ili atakaejifunza na wajifunze,asije kupita nikipopita mimi na kupata madhara kama yangu au makubwa zaidi yangu,Mimi Mungu aliniepusha kuuwawa,kufanyiwa unyama wa kudhalilishwa na pia aliniepusha na maradhi japo alichapa fimbo ya kuniadhibu kimaisha lakini nimetubu kwa dhati na sasa naona nafuu ya maisha.
Asanteni sana kuwa kushiriki pamoja,na ninawaomba mjifunze kutokana na matukio hayo,msisome tu kama burudani na kisha mkaja kupita nilipopita ndugnizangu.Leo nimeutua mzigo mzito
Naweka kalamu chini...
Amani ya Mungu iwe nanyi.
Hongera Kwa kurudi Kwa Mungu
 
"Allah hapendi kudhihirisha /kuyataja maovu isipokuwa kwa mtu ambaye pengine anatoa ushahidi katika kujiepusha na dhulma. Allah yeye ni mjuzi na msikivu." Hujatenda sawa kuelezea hatua kwa hatua juu ya machafu uliyoyatenda siku za nyuma,ilikuwa ni wajibu kwako kujuta,kuomba msamaha na kumuahidi Allah kutorudia dhambi/madhambi hayo. Katu usisimulie,fikiria kwamba hata matendo mema ,haifai kuyasimulia kwa kuchelea kukosa radhi zake Muumba. Seuze uovu unaotia hamasa natashwish kwa wengine. Allah atusamehe sote kwa yote tunayomkosea. Allahumma Aamin
Nashukuru sana mkuu,kwa ujumbe wako huu natafuta jinsi ya kuomba mods waufute Uzi huu
 
Inaendelea 8.............

Nikajilaumu sana kwa kutokuwa makini maana nilishachoka kuwa na mahusiano na wake za watu,nikajiona ni mjinga nisiokuwa makini,lkn nikajiuliza tena,hata kama Hawa alinidanganya mbona kwa muda wote huu nimekuwa nae na tumekuwa tunajivinjari tu bila woga?

…...ni miezi kadhaa sasa imepita Niko nae kwenye mahusiano na cjawahi kuona dalili yyt ya yy kuolewa,nyumbani kwake naingia hadi chumbani na kulala nalala,natoka bafuni kifua wazi na taulo nimejifunga,nakaa sebuleni kwake kifua wazi na taulo pekee na muda mwingine tunatinduana mlango ukiwa wazi bila wasiwasi wowote,je angekua ameolewa si angekuwa na hofu ya kukutwa na mume wake?,inakuwaje ajiachie huru kiasi kile?.....
Nilijiuliza maswali mengi sana lkn ckupata majibu na ukizingatia hawa alishaniingia vzr hadi kwenye mishipa ya fahamu,nilikosa raha KBS kuachana nae,nilitamani yule jamaa awe anasema uongo ili niendelee lkn nilishaingiza uoga kwa mke wa mtu.

Unakumbuka niliwaeleza kuwa cku ile namuacha lodge ucku wkt narudi niliblock namba zake zote na kuzifuta nikazifuta?....
Bac kumbe yule jamaa akaamua kunitega km nitapiga cm,kuanzia cku hio ucku akakaa na cm ya hawa,akamnyanganya cm Hawa, akakaa nayo yy,na akamzuia kutoka ndani kwa cku 3,wako wote ndani hakuna kutoka,na cm anayo yy jamaa kuangalia km nitapiga,kzn hawa akaombewa ruhusa kuwa anaumwa,na kweli alikua anaumwa kwa kipondo alichopokea kutoka kwa jamaa.cku ya kwanza ikapita ckupiga cm,cku ya pili ckupiga,ya tatu ckupigà,cku ya NNE jamaa akatuma msg ya kunitega eti bby mambo?....,...msg nikaiona ckuijibu nikaifuta.akajaribu kupiga(kwa maelezo ya hawa ),cm ikawa inakata tu na jamaa akaelewa kwamba nimeiblock,at least akawa na amani,akamrudishia cm mkewe nae akasepa.

Kuondoka tu hawa akaanza kunitafuta kwa cm na haikumchukua muda mrefu kutambua kuwa nimemblock,akaanza kutuma msg ndefu kama magazeti akiomba nimsamehe kwa yote na hapo hapo akinisifu kwa kumpiga block na kutojibu SMS za nyuma,hapo ndio akaniweka wazi kuwa kwa cku 3 mfululizo hio cm ilikua na jamaa yake na Leo cku ya NNE ndio kamrudishia baada ya kuona hakuna ushirikiano toka kwangu,...Nikawa nasoma msj zake kisha nafuta na kujisemea kimoyo moyo kuwa nae vile vile ctamjibu km ambavyo ckumjibu huyo jamaa yake.ckutaka kuendelea kujiweka ktk hatari.

Cku zikaisha Mara wiki,wiki ya pili inaanza Mara hawa akanitafuta kwa namba nyingine,akaamua kusajili kabisa namba mpya maana zile za awali hawezi kunipata sababu ya block alokula.akapiga nikapokea,akasalimia vzr sana nami nikasikia sauti yake na kuitambua vzr.saut yake naijua sana.nilipohakikisha ni yy nikakata cm na kuiblock ile namba aliotumia.

Cku inayofuata SAA tano asbh Mara MTU huyu hapa ofcn kwangu,nilichoka,.,kumfukuza nashindwa,akaingia akanisalimu na kusimama hapo mbele ya meza yangu huku akiniangalia kwa tambasamu pana,hajuagi kununa huyu mtt wa kike,na tabasamu lake huku anajiuma midomo mwanangu huchomoki.basi mwanaume nikajifanya simuoni na kukodolea macho desktop yangu huku nikiwa wala sina cha maana ninachofanya hapo kwenye desktop, nilishaona dalili ya kuukubali msamaha maana aliingia akiwa kapendeza hatari huku chumba kizima kikinukia unyunyu aloingia nao,na midomo anajiuma huku akinitabasamulia na kisauti chake kidogo km cha wema sepetu nikajua Leo nikichomoka salama naenda kutoa sadaka msikitini.

Mtt akaanza kujielezea kwa marefu na mapana,
Hakunificha kitu chochote,akakubali kuwa ni kweli ameolewa na huyo jamaa mwaka mmoja uliopita,ila hampendi huyo jamaa maana anampiga Mara kwa Mara na pia hana msaada nae ndio maana hataki kumzalia mtt,pia akasema jamaa àlikua mkristo akabadili dini kuwa mwislam ili amuoe baada ya ndoa jamaa amerudi kuendelea na ibada zake za kanisani akimaanisha jamaa alitaka ndoa tu,pia akanambia jamaa ana mke mwingine na watt wilaya ya jirani na wao familia yote ni wakristo,pia akanambia ndio maana huwa tunapata muda mwingi wa kujiachia bila kuwaza maana wakati huo jamaa ana kuwa wilayani kwa mke mkubwa,...

Ebwana ndugu zangu nilizidi kuchanganyikiwa kabisa,nikamuuliza ni kwa nn amenidanganya Mara mbili?,kwanza mwanzo alinambia hana mume wala hana MTU,na baadae nilipombana tuoane akanidanganya tena kuwa ana mchumba anajulikana hadi kwa babu yake.Akanijibu kuwa tangu nilipomsaidia kwenye ishu yake alinipenda kwa busara zangu na akatamani ningekuwa mume wake,akaniomba nimpe muda maana yupo kwenye hatua za kuachana na huyo jamaa maana anamnyanyasa sana,hii Mara ya pili naambiwa nimpe muda eti wataachana tu,(mara ya kwanza ilikua ni mchumba ake),akaniomba nisimuache na tuwe japo tunasalimiana ktk kipindi hiki ambacho anafanya utaratibu wa kupewa talaka kisha tuowane,...

Shetani ni shetani tu,nikajikuta naingia kingi kiulaini baada ya kubembelezwa na kijisauti chake,nikakubali kumsamehe na kum unblock namba zake ila nikamwambia awe makini kufuta kila kitu kuhusu Mimi hadi atakapo kuwa huru.nilivyo mwehu eti sasa naanza kusubiria kwa hàmu watu waachane ili mm nimiliki nikiamini kuwa wataachana tu.
Taratibu taratibu tukaanza kurudisha mawasiliano Mara mawasiliano yakakolea kama kawa,Mara tukaendelea kubanjuana kama zamani,tena safari hii tukizidisha zaidi...

Cku zikaenda Mara wife wangu akazipata habari,kuwa Niko na mahusiano na mwanamke wa haja,akamtafuta hadi akamjua,...
Wife akanambia nikaruka futi mia,nikasema cmjui huyo hawa na cjawahi kuwa na mahusiano na MTU huyo.maskini wife akajikausha ila akanambia kuwa naskia huyo Dada ni mke wa MTU,kama ni kweli nakuombea kwa Mungu ucje pata madhara makubwa kwa kutembea na mke wa MTU,moyoni nikawa namjibu kuwa mm cjaanz kutembea na wake za watu Leo,mm ni mzoefu wa wake za watu,najua kucheza na hio sekta na huyu ni wa nne ss utaniambia nini?.....

Maskini ckujua kwamba hiki cha safari hii ni kisanga.....
........inaendelea......
........

Back
Top Bottom