Recent content by Kima wa Maputo

  1. Kima wa Maputo

    Dkt. Emmanuel Nchimbi hakurejea Nyumbani

    Copy and paste : 𝗕𝗔𝗟𝗢𝗭𝗜 𝗡𝗖𝗛𝗜𝗠𝗕𝗜 𝗔𝗠𝗘𝗥𝗨𝗗𝗜𝗦𝗛𝗪𝗔 𝗡𝗬𝗨𝗠𝗕𝗔𝗡𝗜, 𝗞𝗪𝗔 𝗡𝗜𝗡𝗜 𝗕𝗔𝗗𝗢 𝗬𝗨𝗣𝗢 𝗠𝗜𝗦𝗥𝗜? Na Abbas Mwalimu (0719258484) Jumamosi tarehe 30 Septemba 2023. Taarifa ya vyombo vya habari ya Alhamisi tarehe 28 Septemba 2023, ilimuonesha Balozi wa Tanzania nchini Misri, Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa...
  2. Kima wa Maputo

    Anaweza kuelezea faida za muungano aje atuambie. Je Tanganyika ingekosa fursa zipi Kama Zanzibar wangeungana na Kenya?

    faida ni umoja wetu na kuongeza ukubwa wa eneo la Bahari lililoko Chini ya mamlaka ya Tanzania. Kwa nini wa Swahili tuheshimu mipaka ya wazungu na kuiabudu Wakati tukiweka mipaka yetu mipya kutwa kucha tunaipinga
  3. Kima wa Maputo

    Maswali yenye Utata Kifo cha Balozi C. Mushi. Nini kipo nyuma yake?

    umasikini wa akili na uwezo Mdogo wa kuelewa wa africa huwa kila kifo kina kuwa na mkono wa mtu , tena vijijini ndui mbaya Maana wnaa Singu is wazee. Maswali yote yana majibu , Gari kubakiza plate number ajabu ni nini ikiungua. Una uhakika gani familia haikuwa imetoa taarifa kabla ya Serikali...
  4. Kima wa Maputo

    Kyela: Diwani wa CCM ashikiliwa polisi kwa Mauaji

    Hapa kila kitu ni siasa naona Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Kima wa Maputo

    Aggrey Mwanri: Mungu amshukuru Rais Magufuli kwa kazi nzuri anayofanya

    Ukijipendekeza sana mwishowe unakufuru Mungu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Kima wa Maputo

    Kanisa Katoliki, Magufuli ni muumini kama waumini wengine! Vinginevyo toeni ufafanuzi kwa umma

    Hapana kwa kweli Jpm lazima alindwe kwa kuwa maadui ni wengi snaa. Kuna jamaa mmoja namjua ametoa dola laki 6 ili asaidiwe kutoka jela. Huyu mtu na wengine wa jamii Yao wanaachiwaje kumlenga rais wetu. Mie simkubali sana lakini ulinzi wake ni wa muhimu sna kwa sasa . Na kanisa linapaswa kuunga...
  7. Kima wa Maputo

    Serikali ya Tanzania yashinda kesi ya madai ya dola za Marekani 55,099,171.66 iliyofunguliwa na familia ya Vipula D. Valambhia nchini Marekani

    Nadhani bado ni aibu kwa serikali inaposhindwa kesi za ndani kutolipa. Hapa ni kuwa serikali haijashinda kesi. Ila serikali inajaribu kukwepa wajibu wake kwa kulipa malipo halali ya watu. Ni aibu kubwa kwa serikali kutofimiza wajibu wake . Na hawa wanajua kukazia hukumu na mahakama za tanzania...
  8. Kima wa Maputo

    Maalim Seif kaikimbia CUF lakini Wanalia CCM, Kwanini?

    Wanalia hao wana ccm wakimbizi. Kina pole pole Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Kima wa Maputo

    Imevuja: Wajumbe kamati kuu CHADEMA wakubali hoja za Mbowe kutoshirikiana na ACT

    Kazi za watu wenye hofu kutengeneza Habari Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Kima wa Maputo

    Mahakama Kuu Dodoma: Joshua Nassari ashindwa kesi yake ya kuvuliwa ubunge

    Ni ujinga sana kuwa na wabunge wa upinzani kufanya makosa ya kijinga kiasi hiki. Jamaa kapoteza almost mwaka mzima wa Ubunge. Hawezi kushinda uchaguzi anajua vema . Prematurity mind ni shida. Kiongozi wa upinzani anakuwa wap wabunge wake wanavunja kanuni. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Kima wa Maputo

    Zama za akina Nchimbi, Nape, January, Dr Kigwa zimepitwa na wakati sasa tuko zama za akina Jerry Muro!

    Kuna series ya viongozi ambao hawakupaswa kuwa viongozi kabisa. Sijui ni vigezo gani vilitumika lakini Mungu endelea kusimamia nchi yetu .
  12. Kima wa Maputo

    Tundu Lissu: Tutayajua mengi sana endapo Mh. Nassari atafungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga kufutiwa Ubunge, kama ambavyo nimemshauri

    Nimesoma kwa makini sna hoja za lissu, nachoweza kusema ni kuwa wajibu wa Chama tawala ni kujali pia sauti za wanaowaongoza. Kama Nasari alichaguliwa kwa haki. Wanaumiaa nini kungoja kamwaka kamoja tu amalize muhula wake. Kwa nini wanadharau gharama za uchaguzi Katika nchi masikini kama hii...
  13. Kima wa Maputo

    Zitto: Shida sio mabeberu shida ni watawala kwa miaka 2 tumepoteza $250m za mbaazi na $500m za korosho, tumenunua ndege imelala

    Zitto Nina historia ya kutomkubali siku nyingi, na sababu kubwa ilikuwa namna ambavyo amekuwa akijaribu sana kujiweka karibu na watawala. Nashangaa ata sasa Maalimu Seif kujiandaa kujiunga naye wakati 2016, baada ya ushindi wa Seif kupokwa, ni yeye peke yake aligoma kutoka bungeni kupinga...
  14. Kima wa Maputo

    Wana JF tumwambie Rais Magufuli kwa kauli moja, amfukuze kazi Waitara

    Waangalie mawaziri kama lugola, mpina, kigwangala na ata waziri Mpya wa viwanda. Utagundua wana Sifa moja kubwa. Uwezo wa akili unafanana sna.
  15. Kima wa Maputo

    Bukoba: Mahakama Kuu yamhukumu kunyongwa hadi kufa Mwalimu aliyemuua mwanafunzi kwa kipigo

    As far as I know kuna ukatili mwingi snaa unafanywa na walimu. Hii ni ndogo sana ukiangalia na hali halisi. Walimu wengi hasa public school wanahitaji maombi, kama hawajawazira wanafunzi basi wanawafanyia ukatili
Back
Top Bottom