Recent content by kim000

  1. kim000

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya Udereva nina leseni ya daraja D

    Msaada wapendwa natafuta kazi ya udereva ninasifa na uzoefu wa kutosha leseni yangu ni daraja D pia elimu yangu naweza kufanya kazi sehemu yoyote elimu ni ya kutosha nimefika chuo kwa ngazi mbalimbali
  2. kim000

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    habari wapendwa natafuta kazi ya udereva kulingana na uzoefu wangu kwa mwaka mmoja sasa leseni yangu ni daraja D pia elimu yangu ni cheti cha form four ninao uzoefu na sifa za dereva bora kabisa..kama kuna kazi ndugu mshahara me nafanya kazi sawa na bure
  3. kim000

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habar Ndg.natafuta kazi ya udereva kama uzoefu wangu ulivyo nimefanya kazi mwaka mmoja sasa leseni yangu ni daraja D pia ninao uzoefu wa kutosha tu na sifa za dereva bora..elimu yangu ni cheti cha form four makazi yangu ni Dar es salaam tafadhali kama kuna kazi Ndugu usisite kunijuwa zaidi Asanteni
  4. kim000

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu ndugu

    Natafuta kazi ya udereva nimesoma na ninazo sifa na uzoefu wa kutosha mwaka mmoja sasa naendesha magar.leseni yangu ni daraja D pia elimu yangu ni cheti cha form four makazi yangu ni Dar es salaam msaada kam kuna kazi wapendwa
  5. kim000

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Amen ndugu
  6. kim000

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Elimu yangu ni cheti cha form four ni dereva na uzoefu wa mwaka mmoja sasa leseni yangu ni daraja D..msaada wenu ndugu kama kuna kazi ya udereva..makazi yangu ni Dar es salaam
  7. kim000

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    😀😀 wakiume
  8. kim000

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Natafuta kazi yoyote halali ya kufanya elimu yangu ni cheti cha form four pia nimesoma ninauzoefu wa dereva mwaka mmoja sasa ... leseni yangu ni daraja D nipo Dar es salaam
Back
Top Bottom