kim000
Member
- Sep 8, 2018
- 8
- 4
Habar Ndg.natafuta kazi ya udereva kama uzoefu wangu ulivyo nimefanya kazi mwaka mmoja sasa leseni yangu ni daraja D pia ninao uzoefu wa kutosha tu na sifa za dereva bora..elimu yangu ni cheti cha form four makazi yangu ni Dar es salaam tafadhali kama kuna kazi Ndugu usisite kunijuwa zaidi
Asanteni
Asanteni