Swala tunataka kumpiga adui bila kuwa naye karibu sasa tuendelee kutumia migongo ya watu wengine na kususia uchaguzi kama tutafika tunakoenda labda karne ijayo
Lazima chama kiwe na madiwani na wabunge wa kuwapa joto waliopo madarakani kufanya vitu kwa usahihi na kutimiza yale mnayokubaliana kama si hivyo tutaimba mabadiliko mpaka karne
Hata siku moja aliye na sahani ya msosi hawezi kuacha kila rahisi kama mnavyozani suluhisho nikuongeza nguvu ya kumshinikiza kuachia hiyo sahani kwa hiyo ukisema mpaka warekebishe mfumo tunaweza imba wimbo huo hata karne nzima ila tukianza na vichache tunavyopata tunaweza shinikiza sahani...
Wewe huwa unaangalia bajeti ya nchi yako na kipato mnachoingiza kwa mwaka kama kinatosha tuache kukopa na hakitoshi tupo mulemule halafu marufuku kukimbia kulipa kodi ili ukiuliza wawe na chakujibia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.