Recent content by Kim Don

  1. Kim Don

    JamiiForums Tanzania Nyeusi nyeupe; Kwanini watu wengi wanashindwa kuacha ajira hata kama ni ngumu kwao na haziwalipi?

    Dah... ahsante kwa ujumbe mzur mkuu
  2. Kim Don

    JamiiForums Tanzania Huyu dada kiukweli nimeshindwa mimi, wanawake wa kizazi hiki kwanini?

    Dah..pole sana..mim pia yamenikuta ..juz kuna dada mmoja nimejuana nae fb...yaani mwanzo tu wa maongez ananiomba 20000. ..eti ni mda wa lunch .. akaniahidi kunipatia anavotoka ...nikasema hii kmamata mwizi sasa . Nimwendo wa kumbrock kabsa.
  3. Kim Don

    JamiiForums Tanzania Queen Elizaberth ampokea Rais Obama akiwa kavaa headscarves - In Islam, hijab; Yazua gumzo

    Kutiana presha tu bwana...anajikinga na barid tu hapo .
  4. Kim Don

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Deni la Taifa lafikia trilioni 33.5, NEC yamulikwa, Mishahara hewa na Ukwepaji kodi..

    Kama TBC hawajarusha mkuu umeitoa wap ?
  5. Kim Don

    JamiiForums Tanzania Je nimuoe au nimzalishe tu?

    Mpe tu preg. ..then endelea na ndoa yako coz ukimpa nafas ya kuwa mke huyo ataweza kukuharbia upande wa pili wa huyo mke wako wa kwanza.na daima hizo nyumba ndogo kwa kujitutumua na kuichukua nafas ni hawajambo .
  6. Kim Don

    JamiiForums Tanzania PICHA: Gari namba T571 DGB imeibiwa Shoppers Plaza Tarehe 23/04/2016

    Duh kwan jamaa aliacha ikiwa on au ?
Back
Top Bottom