Je nimuoe au nimzalishe tu?

Je nimuoe au nimzalishe tu?

Mpe tu preg. ..then endelea na ndoa yako coz ukimpa nafas ya kuwa mke huyo ataweza kukuharbia upande wa pili wa huyo mke wako wa kwanza.na daima hizo nyumba ndogo kwa kujitutumua na kuichukua nafas ni hawajambo .
 
Kwa wanawake wa siku hizi Mimba zimekua vitega uchumi.....ukimmimba tu ujue amewekeza hata kama hutafunga ndoa na yy ni zaidi ya kuoa
 
Sidhani kama unahitaji ushauri ktk hilo
 
Back
Top Bottom