Recent content by KILWA KWETU

  1. KILWA KWETU

    Tanzania yawa nchi ya 5 duniani kwa uchumi unaokuwa kwa kasi. Kenya ya ngapi?

    ktk watu wenye akili nawe upo? kwenye paund umelishwa usichokijua nijuwavyo Taifa la kwanza kwa uchumi imara ni America ambao wana akiba ya kihuduma ikiwa taifa lao litapata matatizo ya 50yrs pia taifa lolote lenye uchumi mzuri maisha ya watu wake ni lazima yawe mazuri kielim na n.k sasa eti...
  2. KILWA KWETU

    Tanzania yawa nchi ya 5 duniani kwa uchumi unaokuwa kwa kasi. Kenya ya ngapi?

    mbona bado pesa yenu ni madafu?? uchumi gani unaokuwa na kuporomosha T sh??upuuzi huu ksh 1=na Tsh 22 kisha uchumi unakuwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. KILWA KWETU

    Baada ya mdogo wangu kufariki: Nimejifunza vijana kupata hela nyingi inaweza kuwa tatizo

    Nitangaze mali zangu ili vilaza wa chama cha kijani mdai nimepata kwa ufisad au nimepewa Rushuwa wakati wa utafiti hivyo siwezi kusema niko na nini ila hicho ni kisent kidogo sana Sent using Jamii Forums mobile app
  4. KILWA KWETU

    Baada ya mdogo wangu kufariki: Nimejifunza vijana kupata hela nyingi inaweza kuwa tatizo

    Bro $58000 sio pesa ndefu labda kwa vilaza hii ni sent ndogo sana tena usiweke Tangazo hapa tutakucheka Sent using Jamii Forums mobile app
  5. KILWA KWETU

    Rais Magufuli atoa ahadi nyingine kwa watumishi akiwa Tabora

    kiukweli jamaa anawatesa kweli hiyo kada ya watumishi mara awatimue mara asitishe ongezeko yaani huyu kiumbe pamoja na anayojitangaza kuyafanya anachosha kweli wanyonge wanataabika kwenye utawala huu kuliko kipindi chochote mbaya zaidi wakuu wa idara wanaishi kama malaika msoyojua mkuu wa...
  6. KILWA KWETU

    Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

    Tundu hatumii dawa ya aina yeyote hata sigara hatumii nimekaa naye Alabama America wakati anafanya utafiti wa kisheria chumba kimoja miezi saba sijaona hata akivuta sigara sasa nyie mnaosema kama anatumia unga kwanini msimuhisi na vitu vingine? siku zote tundu ni mkweli na akisimamia ukweli...
  7. KILWA KWETU

    DAR: Tundu Lissu aendelea kushikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana. Waandishi watishwa!

    Yaahayu yaaqayuum wewe ndio umemuumba aliyoandika taarifa hii Nakuomba kwa idhini yako mbadilishie hiki anachomuombea msema kweli na mtetezi wa walalahoi katika siasana kisheria ili utuondoshee maadui wanaojificha kwa watawala Yaa haayuu muuwe kiumbe hiki ili umma upate salama amiin ;Natoa wito...
  8. KILWA KWETU

    DAR: Tundu Lissu aendelea kushikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana. Waandishi watishwa!

    Yaa haayu yaa qayuum wewe ndio umemuumba aliyeandika hiki kwa idhini yako Nakuomba muondoe katika Dunia hii ili iwe fundisho kwa wengine kushabikia maovu yanayofanywa na watawala ameen,natoa wito kwa watu wa haqi kuitikia amiin Sent using Jamii Forums mobile app
  9. KILWA KWETU

    DAR: Tundu Lissu aendelea kushikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana. Waandishi watishwa!

    msimamo wake unanafuu hata hawa vinaraka wanachemka maana baba yake mwenyewe alikuwa anaipenda haqi na alipenda zanzibar iwe huru ndio maana akaleta serikal ya umoja wa kitaifa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. KILWA KWETU

    Hassan Gwaay, mwanafunzi kutoka Mirerani aliyeongoza kidato cha sita 2017

    i like you bibie if you like me tell me pls Post sent using JamiiForums mobile app
  11. KILWA KWETU

    Lissu: Serikali hii (ya Magufuli) ni ya hovyo, huyu dikteta uchwara anahitaji kupingwa na kila mwananchi

    kujitangaza kwako ni chuki kwa wengine pls usimuogopeshe mtu aliyejitoa Post sent using JamiiForums mobile app
  12. KILWA KWETU

    Kitendo cha ITV na Mzee Mengi kupiga kimya hoja ya Makonda ni darasa tosha

    Bashite ni msajili wa makampuni?kwani Bashite ni Nani hadi awachagulie ITV nini cha kutangaza?Nadhani yeye bashite aendelee kuwa msemaji wa police na awe waziri kivuli wa mambo ya Ndani kama anavyofanya akifikilia kuendeleza fujo na waandishi itamtoa kwenye ulingo wa siasa zake anazoziandaa...
  13. KILWA KWETU

    Polisi Wilaya ya Kibaha wamekuwa kero

    si huko tu hiyo ni kero ya Tanzania yote hivi sasa baadhi ya police wanafanya mambo mabaya mengine nimeyaona live nashindwa kuelewa mifumo yao. Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
  14. KILWA KWETU

    Sirro: Wananchi wa Kibiti itabidi wajilinde pia wenyewe, Kibiti hakupitiki hata kwa pikipiki

    eti huyu ndiye mkuu wa police??? dah kichekesho kweli hivi kwanini asikae kimya kuliko kuongea kisha police wote wakapata aibu dah hii kali???
  15. KILWA KWETU

    Rais Magufuli: Polisi fanyeni kazi yenu, hawa wanaoropoka wakamateni ili kusudi waisaidie polisi

    sisemi neno Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom