Recent content by kiluwai

  1. K

    Naomba kujulishwa kwa sababu za kitaalam; Ipi nyumba bora kati ya tofali za kuchoma na cement?

    Siment siku zote inakua na mwisho wake yaani expired wakati udongo hauna mwisho ama expired date, kwa hiyo tofali za udongo - kuchoma ni bora zaidi kuliko za siment
  2. K

    Safari ya South Africa ndio nimeanza

    Vema ukajaribu bal tupatie short report baada ya safari yako, ukisha kaa kwa muda then baada ya hapo binafsi nitaku na mengi ya kuchangia kwa kua binafsi sio muumin wa wale wanaotoka nchini kwenda kujaribu life sehemu nyingine, tukutakie safari njema
  3. K

    Mtoto Mtanzania wa miaka 16 alivyoongea kwa kujiamini mbele ya viongozi wa dunia umoja wa mataifa

    Great work kwa yeye na walimu wake, Tukintengeneza Mazingira vizuri tunawez
  4. K

    YAMETIMIA! Nini Hatma ya wagombea Urais wa CHADEMA?

    Ni kweli hapa kazi tu na kazi ndo imeshaanza, mamabo yako mahakama za kimataifa kwa kuwa tumejifunga midomo na kitanzi katika mahakama zetu za ndani, sasa kazi tu pale uholanzi tukiongozwa na mawakili wetu wazalendo wa Chadema, haki ikitendaka slogani iwe kazi tu kuchomoka na kupisha wale wenye...
  5. K

    Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    Nilitegemea kaz ya uwakala was chama cha mapinduz umekwisha kumbe upo again akil ndogo inajitahid kuongoz akil kubwa
  6. K

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Wote mmekosea ni kati ya hawa watatu, Chenge, Tibaijuka,Muhongo
  7. K

    TB Joshua: Utabiri na nguvu ya Mwanadamu katika kuzuia kusudio la Mungu

    Rasi ni yule aliyechagiliwa kwa kura nyingi za watanzania,kwamba kura nyingi zimekwenda kwa Lowassa kama Raisi wa Tanzania, tutaendelea kumtambua kama rais aliyeporwa Ushindi na muda ukifika bac atakuwa raisi wa halisia wa Taifa letu kwamba sauti ya wengi ni sauti yangu na kama alichaguliwa kwa...
  8. K

    Kisheria na kiuhalisia: ZEC wanakwamisha Tanzania nzima

    Naombeni ushauri wa kisheria wanajanvi kwa mtu yeyote mwenye upeo katika hoja zifuatazo; Kwamba kufuta uchaguzi zanzibar na huku tuna majumuisho ya Kura watu wa Zanzibar kwaa maana ya matokeo yalio kwisha tangazwa na NEC;Endapo tutashindwa kuzifuta kula za wanzanzibar na kuziasha ziendelee kama...
  9. K

    Kisheria na kiuhalisia: ZEC wanakwamisha Tanzania nzima

    Kwa kufuta uchaguzi zanzibar maanake ni kwamba zile kura zilizojumuishwa kwenye wagombea wetu wa Uraisi zinakua batiri, uhalali unakujaje kuzibakisha huku tukijua ya kwamba ZEC imesha futa uhalali wa kura hizo, Hii maanake ni kwamba tunapaswa kuzitoa kwenye kula za majumuisho ya wagombea wetu...
  10. K

    Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

    Huenda mwanakijiji anaugonjwa anaougua Lowassa Mara mia tano,atafute matokeo halisia ya kilindi na mengineyo alone nani anaumwa akili
  11. K

    Mabomu yarindima Mjini Zanzibar

    Hii hatari
  12. K

    Tanga - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Lushoto vijana wengi sana wamejitokeza na wanaendlea kujitokeza kupiga kura, hamasa ni kubwa sana mwaka huu kila kijana yupo tayari kupiga kura
  13. K

    Marufuku kukaa karibu na vituo vya kupiga Kura, inatakiwa kukaa umbali wa mita 100

    Hii ndio hofu ya Utawala dhalimu unaokwenda kudondoka, no mater what you are trying to do, stopping it raining, lazima itanyesha tu na hakika watanzania wanakwenda kuwadondosha kwa sanduku la kura, kubalini matokea inchi Isonge Mbele Lowasa ndo raisi wetu haya ni maneno ya Watanzania walio wengi
  14. K

    Watanzania tukiichagua CCM tupimwe akili zetu zitakua na walakini

    Ni miezi michachache iliyopita tumeshuhudia wanachama wa CCM wakivuruga katiba iliyopendekezwa na watanzania,walijifungia ndani nakufumua maoni ya katiba ya Warioba yenye vionjo vya matakwa ya watanzania, tena bila aibu wametafuna na mabilioni ya pesa ya watanzania walipakodi bila huruma...
Back
Top Bottom