Recent content by kilosa flavian

  1. K

    JamiiForums Tanzania Vijitabia vidogo vidogo vinavyokera..!

    Umetumiwa Tafadhali nipigie! Unapiga hapokei simu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kumtongoza mwanaume na tamaduni za Kiafrika

    Hapana, mm ndo napenda tena siku hiyo hiyo nakubali! Siyo unatongozwa miaka 2 then unakubali; na ukishakubali et unaanza kuita my sweet honey, my every thing, my sweet lotion etc. Yaani hapo baada ya kupigwa kibuti ndo anajifanya kukupenda na mwanaume na unaridhikaaah! Umepigwa changa la macho...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Nina tatizo la miguu kuwaka moto chini, miguu eneo la kukanyagia. Nimeenda hospital mwaka wa tatu kila kipo ninachopima hamna kitu. Mf. Kisukar, pressure nk. Vyote normal. Nifanyeje?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mambo ya ajabu ayafanyayo mwanadamu

    Kenge anakimbia manyunyu ya mvua na kuingia kwenye mto wakati yote ni Maji!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kati ya ommy dimpoz na chidi benz yupi ana afadhali?

    Kivp?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kumpeleka mke wangu chuo lakini roho inasita

    Mke/mchumba hasomeshwi!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuomba kujengewa msikiti na uwanja wa mpira wakati Kagera watu hawana makazi

    Mwandishi wa ITV anaripoti " haijawahi tokea, Tanzania imesaini mikataba 21 na Morocco". Tunaijua hiyo mikataba vizur? Inatija kwa mwananchi?
  8. K

    JamiiForums Tanzania DED wa Mkinga kaonewa, Rais fanya uchunguzi ujiridhishe

    Badiliken mliopewa dhamana, siyo enzi za jk hizi!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanasiasa 10 wa Tanzania wenye uwezo wa kutoa hotuba za kusisimua

    Makamba na Sendeka wanamzidi Dr. Slaa? Sikubaliani na ww hata. Fikra zako cyo huru bali ni za kiccm, ccm.
  10. K

    JamiiForums Tanzania RC Makonda amuwezesha Said alietobolewa Macho na Scorpion Bodaboda, Bajaj na Nyumba

    Huyu jamaa Said alikosa nn hadi kutobolewa macho?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wanandoa wenye umri wa miaka 70 wanauwezo wa kujamiiana?

    Subir uzeeke utaona
  12. K

    JamiiForums Tanzania Meli za Korea Kaskazini zatumia bendera ya Tanzania

    Nenda ww!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Cosmas Makongo wa ITV aswekwa rumande kwa kuripoti Njaa Wilayani Kyerwa!

    Kuwa mwandishi wa habar ni wito na kujitoa uwoga. Vinginevyo utabaki kuusifia tu uongozi ili maisha yaende. Hongera sana makongo kwa ujasiri.
Back
Top Bottom