Recent content by Kilole

  1. Kilole

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kupata nakala ya online ya kitambulisho cha NIDA

    Wajanja walikuwa wengi walikuwa wanafyatua saaana.
  2. Kilole

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Kwanza tuanzie hapo,ni nani aliyekwambia kwenye hizo interview ulizoenda kufanya ilikuwa una faulu?au huwa unaenda kwenye usahili na matokeo yako?lakini pia thibitisha connection unayoisema watu hupeana tofauti na uwezo wako.
  3. Kilole

    JamiiForums Tanzania Hili la Sakho si jambo geni kwetu

    Hakika
  4. Kilole

    JamiiForums Tanzania Simba yasaini mkataba wa miaka mitano na M-Bet kama Mdhamini Mkuu

    Mkataba ulisainiwa toka tarehe moja mwezi!?
  5. Kilole

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kukopa Tala na branch ni vigumu kuliko vya Green Card

    TALA ndiyo wasumbufu lakini branch hawana longolongo Wala hawana Mambo ya barua mimi nakula mkopo branch fasta ukikamklisha kujisajili mzigo unaingia kwenye simu yako.
  6. Kilole

    JamiiForums Tanzania Hakuna Muafrika anayeweza kukataa ofa Ulaya, Bigirimana kawadanganye wasiokujua

    Haya ukimaliza kakojoe ukalale.
  7. Kilole

    JamiiForums Tanzania Mrejesho; Nyumba yangu ya Mapinga

    Sawa,Sasa ungetuambia umefanikiwa kuuza kiasi gani?ili tuonane mahali hata tujipongeze sisi wazee wenzio humu ndani.
  8. Kilole

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Kamanga jirekebisheni

    Kamanga jina lenyewe tu la hovyo.
  9. Kilole

    JamiiForums Tanzania CRDB Kariakoo Branch badilikeni, mnapoteza wateja

    Wanadharau iliyopitiliza hasa Kariakoo Branch.
  10. Kilole

    JamiiForums Tanzania CRDB Kariakoo Branch badilikeni, mnapoteza wateja

    Nawasalimu wote. Uzi wangu wa leo utajikita kwenye ombi la maboresho kwenye hii Bank inayosimamiwa na ndugu Abdulmaji Binafsi ni mteja wa hii Bank miaka mingi nimewavumilia kwenye kila kasoro ambayo nimekuwa nikikutana nayo nifuatapo huduma kwenye branch zao mbalimbali hapa nchini. Kama...
  11. Kilole

    JamiiForums Tanzania M/Kiti wa Simba: Barbara Gonzalez anatosha kabisa kwenye uongozi wa Klabu ya Simba

    Huyu Mangungu naye haya Wala hayamtoki moyoni anajua.
  12. Kilole

    JamiiForums Tanzania Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

    Huyo Abdul Mteketa alikuwa Mbunge wa Kilombero, Mkoani Morogoro na Sasa ni marehemu baada ya kuugua sana na mwisho wake aliishiwa mpaka alikosa pesa ya matibabu pale Muhimbili na kuomba msaada kwa mh.hayati JPM. Huyo Charles Mtawali ni tajiri mmoja hivi aliwika na mpaka sasa nafikiri yuko na...
  13. Kilole

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Hahaha acha kabisa hiyo Sharuksi ilikamata hiyo njia.
  14. Kilole

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Hizi za miaka ya juzi tu
  15. Kilole

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson anafikiria bado yupo utawala wa Magufuli?

    Nimekuelewa sana mkuu
Back
Top Bottom