Wameyataka wenyewe,
Wameingia kiwewe,
Wanahaha kama mwewe,
Haya hawakuyajua
Majigambo yameisha,
Kura hazikuwatosha,
Wameijua Arusha,
Kwamba si ya kuchezea
Walifikiri mabomu,
Yangefifisha fahamu,
Za watu wenye elimu,
Elimu ya uraia
Elimu ya...
Ndugu yangu Lukosi kama njaa ya madaraka wewe unayokali, unatumia mbinu za Mwigulu ili upate unaibu katibu mkuu wa ......... unasikitisha unachangia kama mtoto mdogo, unashindwa kweli kupambanua ukweli wa jambo!!!!!!!!!!!!!!!
Richard hilo eneo linaitwa NSANGAMWELU
Hata hivyo kimsingi mkoa huu ulishakuwa na wilaya tisa za MBEYA, RUNGWE, KYELA, MBARALI, BUSOKELO, ILEJE, CHUNYA, MBOZI NA MOMBA. Uamuzi huu wa kuugawa sioni kama unatatizo ISIPOKUWA tatizo langu hapo naona ni Mkwajuni kuwa makao makuu ya mkoa, hiyo...
Naungana na wewe mkuu, mimi ninao nilinunua Tshs. 6000 na mfuniko wake wa udongo, nikaupaka rangi nzuri na kikatengenezea stendi yake ya chuma na nimeuweka mesini ninautumia vizuri, watu wakija wana-admire, maji yake bariiiiiiiiiiiiiiiiidiiiiiiiiiiiiiiii - "the original water dispenser" - mjini...
FJM hii serikali ni ya mafisadi, kumbuka huu ni mwezi Juni, ni mwisho wa mwaka wa fedha, sherehe kufanyika sasa inamaanisha fungu la mgao wa bunge la mwaka wa fedha unaoisha wa 2012/2013 limebaki kubwa, wasipozitumia zitarudishwa hazina, UPO HAPO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kupeleka hospitali...
Mkuu miaka 48 atakuwa hajafikisha, nakumbuka kuna kipindi cha bajeti zilizopita aliwahi kuvutana sana na Mama Junister Mhagama juu ya malipo ya wafanyakazi wa Halmashauri huko Ruvuma na ni malipo ya nyumba akamjibu kuwa " Jenister mhagama anamfuatafuata kwa sababu anaona wivu yeye kuwa waziri...
Umenitoa machozi kwa kicheko Mamndenyi, siku yangu leo kwaaaaaaaaaaaaaatuuuuuuuuuuuuuuu
Lakini kifupi tu ni kwamba, Tanzania wakosaji "wenye pesa" ndio wanaonekana mashujaa, mfano ni Mzee wa vijisenti, pamoja na kelele zote hakuna lolote lililofanywa na ushahidi wa kurudisha chenji upo, sembuse...
Ndiyo nyie si wajinga bali ni WASTAARABU na ndio maana mnakula "MAPANKI" minofu inaondoka, hicho ndicho wanachohofia wanamtwara, waliona kinachowakuta Wanamwanza, kwahiyo wamejifunza kutoka kwenu hukohuko. Mtakula mapanki mpaka mtashangaa, na kule Mbeya siyo viazi tu bali hata dhahabu inaondoka...
Hapana, CCM imekataliwa na itaendelea kukataliwa, kinachowafanya wanamtwara sasa wasimame upande wa Murji ni baada ya kuwaunga mkono wanamtwara, hasa baada ya kumchomea nyumba yake moto. Murji sasa hayupo upande wa serikali wala wa CCM, yuko upande wa wananchi.
Chriss lukosi, hii ni serikali gani unayoitetea, hivi bado tu hawajakupa ukuu wa wilaya? Chini ya Kikwete miaka minane ya uongozi wake hajamaliza kile kipande cha Ndundu to Somanga cha kilomita 62 cha barabara ya kuunganisha kusini na dar kilichoachwa na Mkapa, bado unasema kuna serikali ambayo...
Chriss ndugu yangu, watu wa Mtwara hawatishwi na FFU, nguvu ya umma hata siku moja haishindwi na polisi. Acha waendeshe mambo yao, nchi hii hata baada ya miaka hamsini ya uhuru serikali imeshindwa kuunganisha barabara ya Dar to Lindi halafu mnasema rasilimali ni za wote, wote na nani? Mbona...
Mimi pia nimekuta laini yangu ya airtel imeuzwa baada ya kusafiri na kutoitumia less than six months, nilichofanya ni kuachana kabisa na laini hiyo ya airtel na kuwajulisha ndugu zangu kuwa sina laini yoyoe ya airtel kwa sasa. Wachache wanaonitafuta kwenye airtel wananijulisha kuwa kuna jibaba...
Ninakutakia afya njema na MUNGU azidi kukufungulia ufahamu kuwa ni yeye aliyekuwa pamoja nawe, Shetani ameshindwa. Hakika ni "Second Chance" itumie vizuri kwa kutenda maamrisho yake ili azidi kuonekana kwako, kwa chachu na kwa sisi sote, ameeeeen
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.