Recent content by Killocharlie

  1. K

    INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

    Nahitaji "Steam Iron" (Pasi ya Mvuke), mwenye nazo anifahamishe tafadhali
  2. K

    Hakainde Hechilema wa Zambia "Kama Maskini Tafuta Pesa Kwanza Ndio Ugombee Uongozi Serikalini" Wanyonge Mtasuka au Mtanyoa?

    Kwa akili zako Madelu kamwe huwezi kuendana na kiongozi tena mwenye maono kama HH. Mtu mwerevu hujifunza kutoka kwenye kila jambo jema analoliona kwa jirani yake; ni mchawi pekee asiyependa kujifunza au kuona mwenzake anaendelea ndo maana hakuna mchawi mwenye maendeleo. Nimestaabu kuona...
  3. K

    Hakainde Hechilema wa Zambia "Kama Maskini Tafuta Pesa Kwanza Ndio Ugombee Uongozi Serikalini" Wanyonge Mtasuka au Mtanyoa?

    Hivi kama muda wote unashinda kwenye social media namna hii hivi unapata wapi muda wa kubuni vyanzo vya mapato kwenye wizara yako! si ajabu ndio maana umeona tozo kwenye kila ectronic transaction ndo njia pekee ya mapato ya serikali; aibu kwa taifa
  4. K

    Hospitali ya Apollo ya India Kuanza Ujenzi wa Hospitali ya Matibabu ya Kibingwa ya Kansa hapa Tanzania

    Ni jambo jema sana; ila haihitaji tozo yoyote kufanya haya. Tafadhali waondoleeni wananchi tozo
  5. K

    Ukistaajabu ya tozo, tazama wafanyabiashara tunavyoumizwa na serikali

    We Madelu The Sunk Cost Fallacy sera mlizoweka ndio zinachochea watu kukwepa kodi. Kumekuwa na utitiri wa kodi, urasimu, ubabe, kuto kuwajibika na mambo mengine mengi ambayo kwa pamoja mtu anaona bora afanye ujanja ujanja ili aweze kuihudumia familia yake. Tambueni ya kuwa wafanya biashara...
  6. K

    Serikali yasogeza mbele sheria ya ukomo wa elimu kwa waandishi wa habari

    Ooh Nchi ya Tanzania, ni lini utatoka kwenye huu usingizi mzito na kuanza kupiga hatua za maendeleo!? Pale ambapo sifa za kuwa mtunga sheria ni kujua kusoma na kuandika lakini msimamizi wa sheria lazima awe na elimu walau ya kidato cha nne, mtafsiri wa sheria lazima awe walau na shahada. Pale...
  7. K

    Iramba: Serikali kupitia TARURA yatoa TZS 7bl kufungua barabara

    Ikumbukwe kuwa hizo pesa zinatolewa na wananchi hususani maskini wanaokamuliwa kila siku kupitia tozo mbalimbali za miamala na malipo. Ikumbukwe vilevile kuwa bidhaa zinapanda bei kila siku inayoitwa leo ili hali vipato havijaongezeka. Kwa busara ilikuwa ni vema kuwapongeza wananchi...
  8. K

    Swali Fikirishi: Hivi Ikulu ya Chamwino kuna nini hata Rais asikae?

    Nugu zangu Watanzania, mbona tunakuwa kumbukumbu fupi (wepesi sana wa kusahau)!? Tufananishwe na nini sijui, Kuku au panzi!!? Mmetoka kulalamika masaa machache yaliyopita juu ya adha ya foleni inayosababishwa na misafara ya viongozi jijini Dar hali iliyopelekea watu kushuka kwenye magari na...
  9. K

    January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

    Tambua kuwa kazi ya serikali ni kutoa huduma kwa wananchi wake na si kutengeneza faida. Ni mapato kiasi gani serikali inapata kwa kutoa elimu msingi (Std I - Form IV) bure!? Ni mapato kiasi gani ya moja kwa moja serikali inapata kwa kujenga barabara na madaraja nchi nzima!? Suala la umeme ni...
  10. K

    January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

    It seems wewe ni mtumishi wa Tanesco/Wizara ya Nishati na Madini. Nasikitika kutamka kwamba kwa majibu yako haya na yale ya mheshimiwa sana Waziri itatulazimu tusubiri miaka mingine 60 ili kuwa walau na miundombinu na huduma bora za kijamii. (1 Fal 19:7)
  11. K

    Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

    Tatizo sio NMB, tatizo ni yule asiyefikiria na kutafuta chanzo kizuri cha kukusanya pesa isipokuwa pesa yenyewe. Tunarudishana nyuma na kutiana umaskini kwa misururu ya kodi. Mungu aturehemu.
Back
Top Bottom