Recent content by KILLANEKELI

  1. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ndugu zangu nauliza swali naomba anaejua anijibu, kuna rafiki yangu nikati ya walimu wapya amepata mtu wa Kubadilishana nae sasa hajajua kama hili swala la Kubadilishana linawahusu walimu waliofanya kazi kwa muda flani au ata wapya wanaweza Kubadilishana, kwa anaejua naomba atusaidie
  2. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ndugu zangu naomba kuuliza, ivi hili swala la Kubadilishana vituo vya kazi nikwaajili ya walimu waliopo kazini kwa muda flani au hata hawa waalimu walioajiliwa sasaivi nao wanaweza kubadilishana
  3. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ni PM namba yako
  4. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ni PM namba yako
  5. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Tabora mjini nije Iringa mjini, Iringa vijijini, Mbeya mjini au Makambako
  6. K

    JamiiForums Tanzania Graduates wengi (61%) wa Tanzania hawana sifa za kuajiriwa!

    Kunahaja ya kupitia upya mitaala yetu,mitaala yetu kwakiasi kikubwa anachokisoma mwanafunzi sio kile anachoenda kukifanya mtaani au kazini,hali hii imejitokeza mpaka vyuo vikuu kuna baadhi ya course ni majina tu lakini hazimuandai mwanafunzi kupambana na uhalisia uliopo mtaani au kazini
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nimesoma fani tofauti lakini nataka kuwa mwalimu

    Unaweza ukasoma Open nasikia nao wanaada naafuu, sijajua wanalipa kiasi gani ila kuna mtu aliniambia haizidi milioni mbili.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nimesoma fani tofauti lakini nataka kuwa mwalimu

    Kijana acha kubisha ili uonekane tu unajua kubisha wakati huna uhakika na unachoongea, nina rafiki zangu wawili wamemaliza degree zao mwaka jana nakuunganisha moja kwa moja kusoma Pgde Chuo kikuu cha Iringa, degree zaozakwanza wamesoma UDOM na mipango yao ilikuwa nikujiunga palepale UDOM so...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Pinda, amsifu Mbunge wa CHADEMA Iringa Mjini Peter Msigwa

    Waziri mkuu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mizengo Pinda amempongeza mbunge wa Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa kwa kutoa msaada wa vitanda katika hosipitali ya wilaya ya Iringa mjini iliyopo maeneo ya Frelimo, Pongezi hizo mheshimiwa waziri amezitoa siku ya jumapili alipoitembelea...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kozi gan ya masters nikasome ili nihamie wizara ya afya

    Kasome Postgraduate ya Health management
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Msio na ajira, ombeni ualimu shule binafsi

    Napenda kuwashauri wale ndugu zangu waliosoma course tofauti na uwalimu na wako mtaani wakizunguka na bahasha za kaki, Kutokana na tatizo la ajira kugeuka kuwa janga la kitaifa na serikali imetangaza mwaka huu kuajiri zaidi ya walimu elfu 30 napenda kuwashauri ndugu zangu muombe kujishikiza...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nimesoma fani tofauti lakini nataka kuwa mwalimu

    Nenda University of Iringa(zamani Tumaini) ukasome Pgde wao ada yao ni afadhari tofauti na vyuo vingine ukichelewa na wao watapandisha
  13. K

    JamiiForums Tanzania Serikali kuajiri Zaidi ya walimu 35,000

    Wewe kweli............ Huoni hats aibu kucoment, ngoja nikuulize ivi katibu mkuu na Waziri mkuu nani mwenye mamlaka, halafu huyo katibu mkuu ulimsikia wewe peke yako? Pinda amezungumza akiwa katika shule ya sekondari Kiwere navyombo vya habari hususani magazeti ya Leo karibia yote yameandika...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Chifu mpya wa Wahehe kusimikwa leo, ni mtoto wa marehemu ana miaka 14

    Chifu mpya wa kabila la Wahehe atasimikwa Leo, ni mtoto wa kwanza Wa marehemu Chifu Abdu Adam Sapi Mkwawa, ni kijana wa miaka kumi na nne lakini atapokea kiti hicho rasmi mwaka 2018 kwasasa atashikilia baba yake mdogo mpaka 2018.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Chifu wa Wahehe, Abdul Adam Sapi Mkwawa afariki dunia

    Yeye ndo aliyekabidhiwa uchifu wa wahehe na taifa linamtambua na linamuheshimu
Back
Top Bottom