Oh, umeshindwa kuupata ujumbe, sioni ajabu kwa kilaza kama wewe, kila paragraph inajitegemea kilaza, sasa wewe kwenye quick reply thread ulitaka niandike classic essay (heading, introduction, body and conclusion!), sioni ajabu ndio nyinyi mnaojifikiri m-mesoma kumbe ukilaza mtupu.....