Recent content by kilkam2001

  1. K

    JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya kumaliza ajali barabarani

    The best solution ni barabara zote za kwenda mikoani ziwe double road. Magari yanayo kwenda yasiwe yana pishana na yanayo rudi. Yanayo enda yawe na njia yake Yanayo rudi yawe na njia yake Hivyo ndio ulaya na marekani zilivyo na ajali ni chache sana
  2. K

    JamiiForums Tanzania Watu 7 mbaroni tuhuma za kumteka mwanamke Dar wakitaka kupatiwa dola milioni 3.5 kutoka familia ya mhanga

    Mara paaap Mwendesha mashtaka hana nia ya kuendeles na kesi. Basi case closed Waliotunga hiyo sheria na kumpa raia mmoja nwendesha mashtaja madaraka makubwa hivyo walikosea sana Too much room for corruption
  3. K

    JamiiForums Tanzania Jamani, Msikimbie majukumu ya watoto wenu wa nje. Ukizaa jua kuna kulea mtoto

    Option one Jaribu kuongea vizuri na wazazi wa huyo mama wakusaudie kuongea na mtoto wao ili akupe mwanao umlee Nenda nao pole pole Wamarinate pole pole Option 2 Mpeleke dogo boarding Hata kama ni same town anayo ishi na mama ake Pole pole unaanza kujipenyeza
  4. K

    JamiiForums Tanzania KARATU: Mji wenye vumbi kali na fursa nyingi za kiuchumi

    Asante sana kwa ufanunuzi mkuu
  5. K

    JamiiForums Tanzania KARATU: Mji wenye vumbi kali na fursa nyingi za kiuchumi

    Kuna sifa moja kubwa sana ya karatu hujaisema Kuna mabinti wazuri balaa kabila lao wambulu na wafiomi Hawa mababu zao walihamia mkoa wa manyara kutoka Somalia na Ethiopia miaka kama 200 iliyopita Ikitoka kondoa mkoa wa manyara ni wapili kwa wanawake wazuri Mkoa wa tatu Kilimanjaro
  6. K

    JamiiForums Tanzania KARATU: Mji wenye vumbi kali na fursa nyingi za kiuchumi

    Kwani chief sarwatt alikua mbunge wa karatu? Nilidhani alikua mbunge wa mbuli
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nilivyosalitiwa na mke wangu kisa nguvu za kiume

    Huyu mtu ni tapeli Anatafuta wateja You have been warning https://www.jamiiforums.com/threads/nilivyoteseka-na-tatizo-la-nguvu-za-kiume.1984421/post-43544430
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nimedondoka kwenye penzi zito na bosi wangu

    Wewe utakua mnene bonge bonge tena bonge nyanya na jamaa anapenda English figure ndio maana anakupotezea kiani Anakuona tipwa tipwa
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge jimbo la Mpwapwa 2020-25 twende na JUNE FUSSI tu

    Msichague vijana kwenye majimbo makongwe kama mpwapwa yenye changamoto nyingi sana si mnaona wenzenu wa Kongwa (Ndugai) na Kibakwe (Simbachawene) wanavyo faidi kwasababu wamechagua watu wenye uzoefu serikalini. Sasa hao vijana wote mnaowataja ni amateurs. Tafuteni msomi makini, mwenye uzoefu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge jimbo la Mpwapwa 2020-25 twende na JUNE FUSSI tu

    Niliwahi kufanya kazi mpwapwa miaka 4 sasa niko Dodoma mjini Kuna changamoto nyingine naona umezisahau. Mpwapwa kuna kituo cha afya kimoja tu kinachohuduimia kata 15 wakati upande wa pili kwa bwana Simbachawene kuna vituo vya afya 3 (hii ni walaya moja) Bado kwa kiasi kikubwa hawana maji safi...
Back
Top Bottom