MIKUNDE KWA FAIDA KIBIASHARA, AFYA NA UTUNZAJI ARDHI
Utangulizi....
Je unafahamu mimea jamii ya mikunde? Je unadhani kuna aina ngapi za mimea jamii ya mikunde ukiachana na mbaaazi, Dengu, Choroko, Maharage, Kunde?
Je unafaham fursa za kibiashara zibnazopatikana katika Kukuza, Kuuza, Kununua...