Hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu! Mleta mada wewe ni mpumbavu ndiyo nasema tena wewe ni mpumbavu ..na upumbavu ndiyo unaokuangamiza. Acha rais wetu afanye kazi ...huyu mpwa wako siyo wa kwanza kukosa mkopo ,na pia awamu zingine wapo waliokoasa mkopo pamoja kuwa rais wa awamu hiyo hakununua...
Kwanza kiingilio cha wasikizaji ni sh 300 na siyo 200 na private cars ni 500 siyo 300.
Halafu wasindikizaji wakiingia mule au magari hayatumii umeme , huduma zote mule zinalipiwa kama choo nk. Sasa hizo huduma zilizopanda ni zipi zinazosababishwa na wasindikiza/private cars?
Acheni upoyoyo na...
Ubinashi ni asili yako? Unaishi dunia gani? Suala uwezo wa wahitimu wa miaka hii ni afadhali ukutane na mwanafunzi wa kidato cha tatu wa miaka ya tisini.
Yaani ni shida. Elimu imeporomoka sana
-
Hivi wewe ni nani? haswa mpaka umtake Rais amtengue Mnyeti? Kama unapenda ukabila nenda Burundi au Rwanda au Kenya lkn Tanzania hatuna ujinga huo na wala hatutaki kuuruhusu
Utakuwa hujapenda wewe na pengine huna nia nzuri nae sioni sababu ya kukufanya et ususe kwa mzazi aliyemakini hawezi kumruhusu binti yake kirahisi hivyo
Panga siku ya kulipa mahali, nenda na wazazi wako kwa binti kabla ya kulipa mahali wamuone ndipo mjadiliane kama wameridhika toa mahali vinginevyo utaamua mwenyewe.. Kingine point ya wazazi wako kutaka kumuona binti ipo kimtego ina maana wasiporidhishwa nae watakuzuia kumuoa? Kama hpn kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.