Nahitaji fundi wa kunibadilishia housing ya simu yangu, na kioo cha nje kina creak,
Aina ya simu ni Tecno Boom J8.
Naomba msaada wa fundi anae weza kuifanya hii kazi.
Ahsante
Tuongee ndugu, nilinunue ukweli mimi nina 7.5M hayo maeneo nayajua vzur hata kwa ufugaji na kilimo cha mihogo panafaa, na lami nilipita mwezi jana lami safi kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.