Recent content by kilim

  1. kilim

    Natafuta mke

    Swali la kiunderdog Hilo we jinsia gan
  2. kilim

    Natafuta mke

    Ela ninazo za kutosha tu ukija nazo kuombwa lazima
  3. kilim

    Natafuta mke

    Nina 30 years ,degree holder ,christian ,one child,,am still fighting for life (hustler) kama kuna mtu(mwanamke ) ambae ana 24-30 yrs dini yoyote ambaye atanifata nilipo (christian) njo tuoane elimu uwe angalau form four nakuendelea sio lazima uwe na kazi ....njoo pm uwe na mtoto mmoja tu ruksa
  4. kilim

    Natafuta kazi wakuu, aliye na connection ya kazi anisaidie

    Ukikua utajua mtoa mada anamaanisha nin na udsm ni chuo Gani
  5. kilim

    Natafuta mke mcha Mungu

    Nina umri wa miaka 30 educated, self employed, natafuta mke yoyote lakini asiwe kibonge mrefu kias rangi yoyote ila awe ndio anaanza maisha alafu awe mcha mungu bas vingine tutavumiliana, ukiwa na mtoto mmoja sio mbaya maana na mim Nina mtoto mmoja kama una hivyo vigezo njo pm mara moja. Naishi dsm
  6. kilim

    Natafuta mume, nina miaka 24

    Njo pm
  7. kilim

    Natafuta kazi yoyote. Nina Degree ya Finance

    Ok ila kwasasa ili nisiue watoto na njaa inabidi nifanye kazi yoyote ile naomba ukiona kafursa chochote nishtue 0693392242
  8. kilim

    Natafuta kazi yoyote. Nina Degree ya Finance

    Yakikufika shingoni inabid ung'oe tu kaka utafanyaje
  9. kilim

    Natafuta kazi yoyote. Nina Degree ya Finance

    Ahsante kaka ila ajira portal nilijiunga sema kuna tatizo pale pakuupdate kwa kutumia NIN nilisahau email ya awali ndio inanipa shida mpaka niandike barua kwenda kwa wahusika
  10. kilim

    Natafuta kazi yoyote. Nina Degree ya Finance

    Nina umri wa miaka 30 naomba connection ya kazi Nina degree ya finance from udsm...bcom finance. Naomba kazi yoyote NTAFANYA nimezunguka san ndugu ZANGU mtu yoyote ambae anaweza kunisaidia contact 0693392242
  11. kilim

    Natafuta kazi wakuu, aliye na connection ya kazi anisaidie

    Ukipata kazi na mim niunganishe bro Nina shahada ya usimamizi wa fedha ( BCOM finance) udsm 0693392242
Back
Top Bottom