Sikutegemea msomi wa kiwango cha PhD kutoa maoni kama yale na hii tabia ya kuweka ushabiki wa kisiasa mbele halafu utaalamu mifukoni unadhalilisha wasomi na kuona kumbe hakuna tofauti ya msomi na asiye soma, wote ndiyooooo!
Waulize mwaka 2001 sekela binti yake alilipiwa bill ya kukaa hotelini South akiwa masomoni ingawa hakuwa staff wa celtel bali huyo mgombea alikuwa waziri wa wizara ya mawasiliano iliyouza ttcl kwa celtel kiujanjaujanja. Hata msafishe watu vipi wtz wanakumbuka hiyo history.
Mkuu umenikumbusha machungu! Kulikuwa na kampuni mbili za uholanzi moja Ikiwa na jina la MSI detcom kitu kama hicho wakanunua shares ttcl baadae wakaform celtel ambayo binti moja jina sekela mwando.... Mwaka2001 alikaa hotelini akiwa masomoni South kwa bill ya celtel ingawa hakuwa staff wa...
Wewe umejitahidi kuchambua hao watatu yaani mwigulu, nyerere na pinda atleast ndani ya hicho chama ndo hawajachafuka na ingawa mi siyo mwanachama kama ningepewa nafasi ya kupendekeza jina moja Kati ya hao basi ni mwigulu japo inabidi apunguze ukada anapoongoza nchi! Pamoja na hayo kuna swali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.